fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Mfugaji kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ampe mwengine, "huyu ana matusi sana!" muuzaji akampa mwengine,na kumwambia huyu kasuku ni mstaarabu,"akiinua mguu wa kulia huongea kizungu, akiinua wa kushoto huongea kihindi". Jamaa akauliza "akiinua miguu yote jee?" Kasuku akajibu 'KU*#!MAKO SI NITAANGUKA!!
halikuwa fumbo wewe!!!!!Akiinua miguu yote miwili hataongea kabisa kwa sababu atasimamia mdomo.
akiinua miguu yote ataruka nahuo ndoo mwisho wa kuoongea.Mfugaji kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ampe mwengine, "huyu ana matusi sana!" muuzaji akampa mwengine,na kumwambia huyu kasuku ni mstaarabu,"akiinua mguu wa kulia huongea kizungu, akiinua wa kushoto huongea kihindi". Jamaa akauliza "akiinua miguu yote jee?" Kasuku akajibu 'KU*#!MAKO SI NITAANGUKA!!