Kasuku anauzwa

Kwa anahitaji nichek kwa number hii 0719708708
 
Kwa anayehitaj tuwasiliane
 
Kwa anahitaji nichek kwa number hii 0719708708
ukipost clip unamwachia huru nakupatia pesa ,release it please huyo ni ndege pori maisha yake yote yuko huru atakufa kwa stress hao wanakaa hadi 15-20yrs kama ukimfuga from chick lakini huru kama huyo hata moka miwili hatochukua kwa stress au depresson kuwa na huruma mw ache tafadhali am beging u!
 
Mkuu serious unayo 150k hapo ya kumrushia???
 
Sasa kama inahitaji kibali kuwa nae ukikutwa adhabu yake si ni sawa na umekutwa na kucha za simba?
Mi nampenda ila hela sina nielekeze huko shambani nije kuwinda na mie
Ujiandae kuumwa vidole maana Kasuku kumnasa ni rahisi shida ni kumkamata,labda kama utavaa gloves za ngozi..
 
Yaani linang'ata kukata ngozi kama mkasi.hata hayo mazoea na boss wake ni ya mashakamashaka tu.
Ukijichanganya anakutoa damu.
khaaa kumbe ndio hivi, nawapenda sana hawa ndege ila huko kung'atwa tena mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…