Kaspersky watoa Anti virus ya bure

Kaspersky watoa Anti virus ya bure

Internet Security ni Combo ya Antivirus na vitu vingine. Ni kama kuuliza kati ya Nyuki na wadudu yupi mzuri. So Avast wana Antivirus na Avast Internet Security vivyo hivyo kwa Avira, Symantec, et al!
Antivirus mainly ina deal na virusi kwenye pc, haisaidiinsana kulilinda dhidi ya tovuti ovu. Internet security inakulinda dhidi ya uharamia wa mtandao, pale unapopitia tovuti ambazo si salama. Huwa inakuonya na kuzifunga hizo tovuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vita na kuviziana mtandaoni ambapo wabongo hatuna namna ila kuikubali.
Kila program unayouziwa au kupewa bure ina drives za kukuchunguza unachokifanya.
Endelea kutumia tu hakuna jinsi

Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka huu serikali ya marekan imeiondoa kaspersky kutoka kwe list ya kampuni zinazoruhusiwa kulinda mitandao ya serikali yao baada ya kugundua moja ya Mashirika ya ujasusi la urusi(FSB) likikuwa likishirikiana na kaspersky kudukua mitandao ya marekani US government removes Kaspersky from approved vendors list
 
Back
Top Bottom