Kaspersky watoa Anti virus ya bure

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Link: https://www.kaspersky.com/free-antivirus

Kampuni ya Urusi Kaspersky imetangaza kuwa itatoa Kaspersky Free software ya antivirus ambayo itakuwa ni bure.
Software hiyo itakua haina baadhi ya uwezo wa Kaspersky ya kulipia kama Parental Control, Online Payment Protection, and Secure Connection (VPN).
https://eugene.kaspersky.com/2017/07/25/kl-av-for-free-secure-the-whole-world-will-be/

Ushauri wangu ni kuwa Windows Defender inayokuja na Windows 8/10 au Microsoft Security Essentials ambayo unaweza kudownload bure kwa Win7 ni tosha kabisa ila kuna wengine mnapenda kuhangaika na haya ma AV mtafurahia hili.

kaspersky-free-antivirus-global-launch-3.jpg
 
Naona Somo la Avira na Avast limewaingia vyema.
Enzi za trial zimeshakwisha.
 
Walifanyaje hao Avira na Avast mkuu?
Wana Free Limited versions. So unaweza ukatumia bure bila kununua. Hazina filimbi na kengele ila zinatosha kwa ulinzi wa kawaida. Sasa jamaa ilikuwa unashusha trial baada ya hapo inabidi ununue. Somo limemkaa vizuri bwana Eugene!
 
Hili la trial ya Kaspersky nimekutana nalo sana. Ilibidi niwe nanunua African version license, ambayo nalipia elfu 30 kwa mwaka la lazima iww activated Africa. Asante kwa taarifa nzuri za Avira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia Avira na Avast tangu yakiwa makampuni machanga, na yalikuwa yako vizuri. Ila miaka ya karibuni Windows naitumia kwa ku bip sana!
 
Je windows defender ina nguvu ya kulinda dhidi ya virusi vikali?Ni ya kuaminika?
Kati ya Windows Defender and AVG free anivirus ipi ina nguvu zaidi?
 
Je windows defender ina nguvu ya kulinda dhidi ya virusi vikali?Ni ya kuaminika?
Kati ya Windows Defender and AVG free anivirus ipi ina nguvu zaidi?
Window D ishawahi kuniangusha na kunitia hasara kubwa ambayo ctakuja isahau,Avg free,naiamn kinoma,haijawahi kuniangusha toka nianze kuitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vita na kuviziana mtandaoni ambapo wabongo hatuna namna ila kuikubali.
Kila program unayouziwa au kupewa bure ina drives za kukuchunguza unachokifanya.
Endelea kutumia tu hakuna jinsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Antivirus na Internet Security ipi nzuri?
Internet Security ni Combo ya Antivirus na vitu vingine. Ni kama kuuliza kati ya Nyuki na wadudu yupi mzuri. So Avast wana Antivirus na Avast Internet Security vivyo hivyo kwa Avira, Symantec, et al!
 
Back
Top Bottom