Msaada wa KU unistall anti VIRUS.

Fringe

Senior Member
Jul 5, 2011
178
90
nilikua natumia eset nod 32 ,then nikaamua ku change to kerpersky,kabla sija install kerpersky nili uninstall hiyo eset nod 32 na ikafutika kabisa,lakini nilipo jaribu ku run kerpersky kwa ajili ya installation ina fika sehemu napewa ujumbe kwamba eset nod32 is on acess scan,na process inaishia hapo.
nimejaribu ku tumia software remover lakini zote hazi detect kama kuna eset nod32.sasa jamaan naombeni sana mwenye ujuzi anielekeze jinsi ya kufanya.ma pc nw haina anti virus kabisa.

​
 
  1. Click Start
    icon-rarr_10x9.png
    All Programs
    icon-rarr_10x9.png
    ESET
    icon-rarr_10x9.png
    Uninstall
    . After you uninstall, you will need to restart your computer.
  2. After restarting, confirm that you can see hidden files and folders by clicking Start
    icon-rarr_10x9.png
    Control Panel
    icon-rarr_10x9.png
    Folder Options
    icon-rarr_10x9.png
    View
    and select the Show hidden files and folders option.
  3. Click Start
    icon-rarr_10x9.png
    My Computer
    and then navigate to and delete the following folders:

    C:\Program Files\ESET
    C:\Documents and Settings\All Users\Application Data\ESET
    C:\Documents and Settings\%USER%\Application Data\ESET

    Windows Vista and Windows 7 Users must delete the following folders:


    C:\Program Files\ESETC:\ProgramData\ESET
 
vile vile unaweza kufanyia kzii advice hizi baadhi ya advice nadhaniumeshapewa hapojuu so jaribu nyingine

How to remove the Eset NOD32 file on access scanner - Networking & Security


Pia kwenye hi link kuna adice amabazo kwa baadhi ya wadau wanasema zimefanya kazi How to remove eset nod32 file on access scanner? | Facebook
it works....just follow these steps :run->regedit->ctrl+f->eamon->rightclick->delete then restart your machine.......as easy as that...
thanks guys


Na hiii nadhan ihaitofatini na ushauri wa hapo juu sema wanatumia njia tofauti lakini lengo ni moja kufuta key ya eamon kwenye registry
Delete this registry key: HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Services\eamon

Kabla ya kucheza na registry chukua back up
 
nimejaribu lakini bado kuna tatizo hilo hilo. more advice please thanx in advance though

Pole sana ndugu. Jaribu kutumia revo uninstaller kama bado hujaitumia, hii ni nzuri inaweza kukusaidia. inapatikana ktk link hii:

http://www.revouninstaller.com/start_freeware_download.html

Kama ikitaa, jaribu ku-install tena hiyo NOD 32, kisha nenda ktk settings/configurations zake kisha u-disable/u-stop process scan/access scan. Halafu ui-uninstall kwa kutumia revo uninstaller.

Kila la kheri.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom