Kaskazini lazima Ikulu

Kaskazini lazima Ikulu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
FB_IMG_1439732853516.jpg

11892179_910686715645140_2432377757511982196_n.jpg
 
Kweli Urais ni kaskazini tu mwaka huu kwani hata magufuri ni wa kaskazini ati!
 
Hivi Katesh anakotoka Sumaye ni kaskazini mwa Tanzania? Huwa nasikia kuna upungufu wa waalimu wa hisabati, kemia, fizikia na biologia. Sikujua kuwa kuna upungufu mkubwa wa waalimu jiografia pia.
 
Siasa za ukanda na ukabila ni mbaya sana mleta hii kitu iwe ni kwa akili zako au za kushikiwa bado hujajua tuu madhara ya siasa hizi . kuwa mzalendo weka hoja zako acha kutugawa kwa ukanda hii ni hatari sana
 
Hao magamba wameshikwa pabaya, sasa wanajaribu kuja na siasa za ovyo kabisa, lakini sio ngeni kwani kila wanalojaribu linadunda tu, na hata hili litashindwa tu.
 
Back
Top Bottom