Yaani kuna watu wanaboa
jamani, nilikuwa na week end yangu murua pande za Lushoto nilikuwa
kwenye kiota flani hv. Nilitoka kazini ijumaa muda wa lunch nikakanyaga
wese mdogo mdogo nikafika mombo kwenye saa 3. Nikaagizia mbuzi nikawa
nakula taratibu kwenye meza nilikaa na watu mara bin vuu nikasikia mbaba
mmoja aliyekuwa anapiga debe chai ya maziwa, rangi, kahawa, ya viungo
na blah blah akaanza kuita kwanguvu Kasinde Kasinde Kasindee huku
akiangalia huku na huku kuona kama ataitika mtu. Nilisikia ila nami
nikaangaza kuangalia kama kuna Kasinde mwingine. Alipoona hakuna
anayeitikia akanyamaza.
Nikawaza badae nikajua yule mbaba muuza chai alitumwa na mtu, aliniboa
kwakweli maana kama mtu umeniona mahali na unataka kunisalimia si
unifate tuu na kunisalimia kistaarabu kuliko kuniita kwa kupayuka hivo.
Wakati nakula yaliingia magari mengi mengi hivo pia watu walikuwa wengi.
Nsharudi zangu home kesho ofcn another week end kula ujana tena. Ila
hii tabia si nzuri looh
Yaani kuna watu wanaboa jamani, nilikuwa na week end yangu murua pande za Lushoto nilikuwa kwenye kiota flani hv. Nilitoka kazini ijumaa muda wa lunch nikakanyaga wese mdogo mdogo nikafika mombo kwenye saa 3. Nikaagizia mbuzi nikawa nakula taratibu kwenye meza nilikaa na watu mara bin vuu nikasikia mbaba mmoja aliyekuwa anapiga debe chai ya maziwa, rangi, kahawa, ya viungo na blah blah akaanza kuita kwanguvu Kasinde Kasinde Kasindee huku akiangalia huku na huku kuona kama ataitika mtu. Nilisikia ila nami nikaangaza kuangalia kama kuna Kasinde mwingine. Alipoona hakuna anayeitikia akanyamaza.
Nikawaza badae nikajua yule mbaba muuza chai alitumwa na mtu, aliniboa kwakweli maana kama mtu umeniona mahali na unataka kunisalimia si unifate tuu na kunisalimia kistaarabu kuliko kuniita kwa kupayuka hivo.
Wakati nakula yaliingia magari mengi mengi hivo pia watu walikuwa wengi. Nsharudi zangu home kesho ofcn another week end kula ujana tena. Ila hii tabia si nzuri looh
Mweeh!!
Ibara ya 19 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniainatoa uhuru wa kutoa habari na kujieleza kama wewe na mimi tunavyofanya.Lakini kwenye kamba/uzi wako hapo juu haujaitendea Haki Katiba, Bali ume- abuse.Otherwise ulitakiwa ushitakiwe kwa matumizi mabaya ya Raslimali na ku-polluteenvornment hii. (E-environment) or JF server
Alikujuaje kama wewe ndie kasinde?
Au huyo kwa avatar ndie kasinde mwenyewe?
wkend lushoto.....ulienda mpaka kule juu kwenye hotel ya mkapa....?....dah nimeimiss lushoto....hakika nitarudi mana niliyafurahia mazingira....
mkuu mombo ipi uliyokua unasimulia?? na ulikua unatokea sumba wanga au mtwara?Yaani kuna watu wanaboa jamani, nilikuwa na week end yangu murua pande za Lushoto nilikuwa kwenye kiota flani hv. Nilitoka kazini ijumaa muda wa lunch nikakanyaga wese mdogo mdogo nikafika mombo kwenye saa 3. Nikaagizia mbuzi nikawa nakula taratibu kwenye meza nilikaa na watu mara bin vuu nikasikia mbaba mmoja aliyekuwa anapiga debe chai ya maziwa, rangi, kahawa, ya viungo na blah blah akaanza kuita kwanguvu Kasinde Kasinde Kasindee huku akiangalia huku na huku kuona kama ataitika mtu. Nilisikia ila nami nikaangaza kuangalia kama kuna Kasinde mwingine. Alipoona hakuna anayeitikia akanyamaza.
Nikawaza badae nikajua yule mbaba muuza chai alitumwa na mtu, aliniboa kwakweli maana kama mtu umeniona mahali na unataka kunisalimia si unifate tuu na kunisalimia kistaarabu kuliko kuniita kwa kupayuka hivo.
Wakati nakula yaliingia magari mengi mengi hivo pia watu walikuwa wengi. Nsharudi zangu home kesho ofcn another week end kula ujana tena. Ila hii tabia si nzuri looh