Kasinde on holiday

Hili jina, umenirudisha mbaaaali sana. Loong time nikiimba wimbo wa Kasinde.

Yes, hili ni jina la kwetu hasa.

Sea shell ila ntatua mahali flani (Abu Dhabi) kwanza kwa siku7 kisha niende sea shells. Karibu twende life is to live, lets enjoy and have fun.
 
Mmmh...we kula tu ujana wako. Japo sio ujana as such, ni uzee katika mentality ya ujana...
Ukipiga mechi tujuze...!
We nae unataka matokeo ya machi ya nn buana????
 
Teh teh mambo ua tegeta escrow. ...na mi safari hii nitakua..... manaake huu mgao wa 1.6b cjui nitamaliza lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…