Kasinde on holiday

Kwenda kustarehe sea shells mie najigharamia niko fullu masnondo. Hivo ukinigharamikia itakuwa ni sehemu ya starehe kwako.
Kwani ulikuwa unataka malipo gani kwa mfano...

ah myn ujigharamie akati upo na kidume... afu usijifanye mtoto wa primary hapa, kwani hujui cha kunikirimu na mi nkajisikia afueni
 
Asantee, kula ujana ni desturi ya Kasie, navunja mifupa angali meno bado yapo. IVO.
Hapana Sean siwasiliani nae tena.

Kasinde all the best mrembo kula ujana kabla maji hayajapoa, shemeji yetu wa US bado unawasiliana nae?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa umejitolea kumlea Kasie haya na ujishike kweli kweli si unajua sifa ya wanyamwezi? Ujifungashe si masikhara..
ah myn ujigharamie akati upo na kidume... afu usijifanye mtoto wa primary hapa, kwani hujui cha kunikirimu na mi nkajisikia afueni
 
Kila nikivuta picha umri wa kasie ni zaidi ya 40 sasa huo ujana anakulaje ??
Au ndio akina dida ?
 
Hahahahaaa umejitolea kumlea Kasie haya na ujishike kweli kweli si unajua sifa ya wanyamwezi? Ujifungashe si masikhara..

ah najua wap pa kukushika na nikupe nini utulie, hunipi shida kasie... ka ni phd nlionayo ni ya havard, hapa utabakiza chang
 
Last edited by a moderator:
Mmmh...we kula tu ujana wako. Japo sio ujana as such, ni uzee katika mentality ya ujana...
Ukipiga mechi tujuze...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…