pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
Pooole sana kwa yaliyokukuta ..Wallah naapa nikikuta mahali mwizi kakamatwa anapigwa, mie ntachukua prize tuu kisha nafungua zipu yake na kuminya yale mayai mawili hadi aombe poo baaas!! so kuanzia sasa hv natembea na prize kwenye pochi.
Pooole sana kwa yaliyokukuta ..
Lakin nan kakwambia kwamba wezi wanakuwaga wanaume tu?
.
.
Na unajuaje kama aliyekuibia siyo mwanamke?
.
.
Na siku ukikuta mwanamke ndio mwizi kaiba anapigwa utamfungua wapi ubinye nini mpaka aone baaas aombe poo?
That will be a back up u know....akipata simu nyingine anamwambia amrushie back lol
Hahahahhaaa mbona wanaume nyie ni wachokozi hivo loooh!!! mie data zangu huwa nazisave kwenye gmail na ndomana immediately nazidelete kwenye simu, na hapa japo sijapata simu ingine lakini nikiingia kwenye gmail napata picha zangu zote na kila kitu...🙂
wewe na The Boss ni wachokozi nshawaona ivoo