kasinde is in a crash with...!

Hahahah...miye chemba siji ng'ooo

Leo itabidi kufanya matembezi ya hisani kwani itasaidia pia kuupa mwili mazoezi...
 
sasa atakuwa anakosea, yaani crash yote hii aniangalie tuu aaah basi itakuwa sio rizki na mipango ya maulana, ila kama ni mipango ya maulana atanitext tuu, thanks for alert by the way au ni wewe nini.....???? mmmhhh ila kama ni wewe....... hayaa poa

Shida jf hatureveal shughuli zetu na majina yetu. Acha ibaki kuwa crash tu.
 
Hahahah...miye chemba siji ng'ooo

Leo itabidi kufanya matembezi ya hisani kwani itasaidia pia kuupa mwili mazoezi...

basi kama hutaki kwenda chemba uache uchokozi karibu na kweli, ngoja ifike saa kumi na moja ndo niamue kama ntapanda bajaji au nitembee, maana hata leo sina gari
 
Shida jf hatureveal shughuli zetu na majina yetu. Acha ibaki kuwa crash tu.

ok haina majotroo be blessed and stay well, thanks anyways for ur words
 
basi kama hutaki kwenda chemba uache uchokozi karibu na kweli, ngoja ifike saa kumi na moja ndo niamue kama ntapanda bajaji au nitembee, maana hata leo sina gari

Hahaha kwa kumalizia uchokozi wangu basi utanikuta nami nasubiri bajaj kwa yule muuza matunda...
 
Hahaha kwa kumalizia uchokozi wangu basi utanikuta nami nasubiri bajaj kwa yule muuza matunda...

yaani nimekuvulia kofia loooh uchokozi wako sjui nani aje anisaidie hapa sasa ndo nini unatoa details zote yaani wewee, na ujue bado niko ofcn sijatoka hadi saa hii najiandaa na siku yetu kesho si unajua mambo ya women's day.
Ila nikikuona....... lazima nilipizie uchokozi wako aisee na nikitoka ntakaa mbali na muuza matunda hehehehehee
 
hivi 'crash' ndo nn maana sijaelewa

hata mi sielewi kwa jinsi nilivokuwa nimechanganyikiwa sikufikiria hata hilo neno linamaanisha nini heheheee, kwani maana yake ni nini?
 
mbona sijawaelewa wewe na Kaizer.......!!!

sasa kasinde kuna kigeni gani hapo jamani? hujamuelewa Kaizer? hivi vitu havijagi mara mbili ujue?

assume ndo jamaa huyo sasa wa kwenye foleni anahitaji namba halafu unamzingua...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…