kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari zenu wapendwa,

Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!

Tulikutana uso kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweeh! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.

Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!

Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!

Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco.

Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona...

Guy your wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with you nissan guy.

So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy your looking, good night!

Ila usingizi hauji sasa.......!! daah!!
 
Uliniingia ungenipungia mkono mara nilivyokupungia ningefuata kwa nyuma hata kama unaishi Tegeta au Bunju, usijali Kasinde tutaonana tena kesho maeneo ya maktaba kama si foleni nitakuwa maeneo yale mida ya saa moja unusu, mie nipo bandari TPA na mwenzangu? naomba sasa ulale jamani.
 
Hiyo inatokeaga dana afu kama wewe hapo ulikuwa unatamani umfate namanga kama nakuona vile mlivyopotezana kwenye foleni ukawa unapepesa macho. KakaKiiza embi tusaidie nissan.....AQN hapo namanga si ya msafiri kweli??
 
Last edited by a moderator:
Duuuh, mapenzi yana siri kubwa.
Subiri PM yake, lazma yupo jf na in no time he will inbox you....Mengine utaleta mrejesho!!!
 
Habari zenu wapendwa,
Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!!
Tulikutana udo kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweehh!! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.
Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!! Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!! Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco. Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona.....
Guy ur wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with u nissan guy.
So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy ur looking, good night!!
Ila usingizi hauji sasa.......!!!! daah!!

3_inventory25177_1393333453.jpg
 
Nakukumbuka nlivyokupita na ka TOYO kangu T...CFK upande wako nkakucheki ukajidai unabadili gia dakika zote izo pale karibu na ubalozi

Hata sisi wa toyo tuna mvuto sana tu sema ningevua helmet pale traffic angepiga cha juu.

Just thinking of you Kibito lady
 
Ooooh!!!! tommorow the same time i will be in the same way byb
 
Habari zenu wapendwa,
Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!!
Tulikutana udo kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweehh!! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.
Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!! Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!! Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco. Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona.....
Guy ur wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with u nissan guy.
So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy ur looking, good night!!
Ila usingizi hauji sasa.......!!!! daah!!

Hahahahahahaaaa!
Na sijui ungefanyaje ingekuwa sijajiunga na JF!
...
Afu pale kamoyo kangu kalilia Paaaa!
Haya nakusubiri PM mtoto mzuri!
 
Habari zenu wapendwa,
Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!!
Tulikutana udo kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweehh!! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.
Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!! Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!! Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco. Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona.....
Guy ur wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with u nissan guy.
So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy ur looking, good night!!
Ila usingizi hauji sasa.......!!!! daah!!

bado mapema, ikifika saa sita usingizi utakuja tu
 
Dah pole itakutesa hiyo, inabidi upotezee tu.
Mimi kuna mtu humu nimemzimia naogopa kum pm. Huku haji basi tabu tupu hahahaaa. Bora hata angekuwa anatembelea chitchat na MMU.
Please mume wangu usisome honey natania tu.

mtongoze tu, mlete kule
 
Now was it the guy or the car?

Who is gonna hump you? The guy or the car?

Who is gonna hold ya?

SMDH.
 
Back
Top Bottom