Hao wadada hawawezi kuwa serious, mlangoni nimefikaa kwa kuvutwa na sumaku pamoja na sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Ngoja niendelee kupiga chabo hapa mlangoni
Nipo na miwani ya welding hapaHahahahaaa haya wamekusoma sasa natumai wamepata jibu lako mujarabu.
Hapo kwenye chabo hapoo...... hakikisha umevaa miwani ya plastic acid isije ikakumwagikia usoni.
Hahaha It weekendHahahahahhaa all the best....
Haaaaah you know what..... nimekumbuka kitu......
Lens glass on Aaahahahahahhahahahahahaaa.
I really miss Silas.
Hapo kwa Kassie ntapigana mpaka tone la mwisho la damu...Aahahahahhahaa looh wee babu weweee
Ila babu ujue Sam Original Cockroach anakusoma heheheheheheh, jiandae tuu kuwa ndondi.
Kasie Matata.
I love you too...Hahahahahaa umenikumbusha my amarula...
My name is Kasie Amarula
And my babu is Big Sam
We are going to cruise at Rodizo this Sunday. ..
Ooh yeah yeah ooh yeah yeah...
Hahahaha its a remix.....
uwanja wa taifa ,simba akichezaNikiwa napata haja kubwa ni moja ya comfort zone za Kasie. Nakuwa so relaxed.... free like molecules...
What's your comfort zone?
Hapo kwa Kassie ntapigana mpaka tone la mwisho la damu...
Sifi kirahisi mimi...
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Pamoja na yote hayooo without being called mrs somebody,you're a whore!
[emoji122][emoji122][emoji122]My comfort zone came when iam satisfied with Love i have, to eat the Food i want, when i have idle Time and be free to hang around, and ofcoz huwez fanya haya kama huna hela...
Kwangu mimi ni when i have Money , Time and Energy, all in parallel
Ee bwana, twakuomba utusikie...Babu ujue unabadilisha momentaum yangu hivoooo..... Utafanya tuombe special request pale Rodizo.....
Halafu itabidi tufanye na kasafari ka kunyoosha viungo vya mwili.... sio gym ehehehehee kwenda kucheza mziki... old school songs.
Yajayo yanafurahisha...Toobaaaahh...... in Majuto's tone.... heheehehe
Babu Big Sam, ilutuu.
Muaaah there...Mmmuaaah!!!