Kasie Mahaba on Vacation

Kasie Mahaba on Vacation

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
2017-11-23 21.30.50.png

2017-11-23 21.30.19.png


As the pictures displays..... Kasinde in full mahaba with her dash dash.......

Kasie's vacation button has already been pressed, this time on a boat learning how to fish..... A tutor is my dash dash and that red fish is the result of what I learnt yesterday.

Najua watu watajiuliza hivi huyu Kasie na huyo dadii wake anampendea nini? Hehehehehe siri ya kata ajuaye mtungii. Hebu angalia hilo kufua cha dadii halafu kodolea macho vidole vyake.... vingine siri yangu nyie kule ni kwa macho mkiwa mnakodolea picha mie najiramba na kucheuwa (japo si vyema kucheua mbele za watu).

Ndo vakasheni ya mwisho wa mwaka ishaanza ivooo, kama huna mwana eleka jiweee.

Na kushukuru mara kedekede dash dash wangu kwa kunitembeza kila niwapo likizo mwisho wa mwaka. Mungu akujaalie, azidi kukujaza, akuongezee mara dufu kila unavotoa pesa zako kunihudumia, shaka ondoa mahabat wangu, mahaba yangu umeyapata mia ya mia, sema jingine dadii. Mmmuuaaahhhhh!! Pokea busu letu la bakulutu.... mwaah!!

Alamba alamba aaammm aaammm alamba alamba tena aaammm aaammm.


Kawaida yangu kuimba mara nyingi, tuburudike wote na jisongi la Shania. ....... Japo huu hapa ni mahsusi kwa dash dash wangu aka dadii

Kasie Mahabat.
 
Kwa mantiki hiyo, unamaanisha unapenda Mikuyenge mirefu na iliyonona.

Kila kiungo kina mfanano wa Kiungo kingine.
Hahahahahahahahahahaaaa looh jamaniii sio kuwa napenda mikuyenge hapana.... yaani dash dash wangu ndo package yangu hiyo na haijazidi wala kupelea hapo hapo imetoshea size yake. Yaani sijui nielezeje. .... ila najua utakuwa umenielewa bana hahahahhahaha weeweee
 
Ndio Ndio Kasie! Tukomeshee, daddy anaonekana mtundu sana huyo

Hahahahhaaa Jamanii hata siwakomeshii ni vile dadii ananipetpet na kunipa mahabat ya kiutu uzima si unajua pension ikikukuta bado una nguvu halafu majukumu yameisha......

Inabaki kuwekeza kwenye hisa na mitaji na kutembea nchi mbalimbali aka kusafiri.

Ila hapo kwenye utundu..... yeye siku zote anasemaga mie ndo mtundu ila simfikii. Nikiwa nimenuna, sichukui dakika 10 keshanifurahisha na kunirejesha tabasamu langu. Niombe nini tena mie kwa maulana.....

Dadii adumuu na aishi miaka elfuuuuu kwa afya zetu.
 
Kula maisha dadangu, we only live once thats the anthem

Asante mdogo wangu, yeah we live once na ukiitumia hiyo once chance vizuri..... it's enough. I don't regret at all with my dash dash..... blessings to him.
 
Kasie....

Mkubwa mjuzi, Mkubwa mrembo...mkubwa asiyefubaa...!

Kweli mahaba yamekukamata mpk kile kirungu cha kimasai umekisahau.

Enjoy....

Hivi Azarel lakini.......

Kwanza mwenzio niko vacation hapa.....
Nyie wamasai na wajua sana, wachokoziiiii hahahahahhaahaaa tatizo langu ni ubishi na hapa unataka nianze kuelezea nini ilikuwa hata rungu la kimasai bin morani ukakaa pembeni.

Hahahahahahhahahaa na nshamuona Daby yuko hapa haya twende pamoja.......

Hebu tukumbushane.... kwani nini kilitokea hadi rungu likapotea hahahahahahaa mnijibu hilo swali nyie wamasai wawili.

Halafu mnajua nyie wamasai ni watani zangu eeh hehehehehhehee. Haya twende kazi.

Halafuuuu. ... that's not fair play.....
Mwambie Morani akujee, alishaweka maandishi hapa kuwa he got you na nikawa nam quote kuwa you got what?? Nashangaa ikanikatalia ku quote.

Mwambie morani kwani tumegombana mbona kaondoka? Au wifi kamkataza?

Kuna jina la kimasai kila siku huwa nalisahau. ... Laigunian sijui ila linafanana na hivo, ndo jina lake muiteee. Hehehehhehehe
 
A wine get better with age,
..

Ooh yeah..... my dadii used to say this after when he hold a glass.....
En vinno veritas. ...en aqua sanitas. ..( nadhani maandishi hayako sawa)
 
Back
Top Bottom