Kasie Mahaba on Vacation

Kasie Mahaba on Vacation

Ha haaaaa after a night with the melons come what may ....that's my thing ...........................

Hahahahaaa melons..... Kasie's melons...

I see you like the thing...... hahahahahhahahah Mnamaaa.... you on vacay too...?
 
Hahahahaaa hapana sio hilo Nganashe, jamani kwani huyu masai kirungu yuko wapi mbona hafiki? Haya ngoja niwaache na lugha yenu nisije tukana buree hehehehee.
Hey, what's goin' on?

It might be Leiguanan
 
Hey, what's goin' on?

It might be Leiguanan

Hahahahahhahahaaa at last looh

What's on here is vacay....

Yeah hapo hapo umepatia ndo hilohilo Leiguanan sijui kwanini hili jina huwa nalikoseaga kulitamka. .... hehehehehehee nakumbuka lilikuwa na g katikati ngoja nimuite ndugu yo Azarel aje alone maana yet alibashiri maneno kadha wa kadha ila nikamkatalia kuwa si hayo.

Haya habariiiinyoooo baba yeyoooo ....
Takwinyaa. .... 😉
 
Hahahahahhahahaaa at last looh

What's on here is vacay....

Yeah hapo hapo umepatia ndo hilohilo Leiguanan sijui kwanini hili jina huwa nalikoseaga kulitamka. .... hehehehehehee nakumbuka lilikuwa na g katikati ngoja nimuite ndugu yo Azarel aje alone maana yet alibashiri maneno kadha wa kadha ila nikamkatalia kuwa si hayo.

Haya habariiiinyoooo baba yeyoooo ....
Takwinyaa. .... 😉

Tehteh... habari ni nzuri aseeh.

That's cool....and real fukcing ace*.
 
Hahahahhahaaa don't tell me, I didn't knew Kasie ndo mkali wa mji..... ila usisababishe nikapaliwa mikaa na wenye mji wao.... hehehehehe

Thanks by the way.

No till around Xmas that's when I will be on vacay....No worry hakuna cha kupaliwa mikaa
 
Tehteh... habari ni nzuri aseeh.

That's cool....and real fukcing ace*.

Hahahahaaa takwinyaa weeeh.....

Tehteh... habari ni nzuri aseeh.

That's cool....and real fukcing ace*.

Hahahahahhahahahahaaa kama habari ni nzuri basi mambo byeeen

In red colour: it's hot here and the sea breeze is warming up....
What the hell. .....
 
No till around Xmas that's when I will be on vacay....No worry hakuna cha kupaliwa mikaa

Ooh that's great, wish you all the best while preparing for the vacay.

Thanks for worrying out Kasie.
 
Hahahahaaa weeeh unatafuta uhasama wewee vita yake utaiweza. ...... shauri yako mie simooo anakusoma hapa hehehee.

Dadii mkubwa anapewa kila wakubwa....
Wewe nikaribishe tu mengine niachie mimi, inzi kufia kwenye kidonda ni kawaida
 
Wewe nikaribishe tu mengine niachie mimi, inzi kufia kwenye kidonda ni kawaida
Hahahahaaa ndo mambo ya kibaka kuomba lifti kwenye difenda sio hehehehheeh he

Kasie mtata ujue.
 
We kasie unayoongea hufananii na muonekano wako
We c mtu mzima kabisa
 
We kasie unayoongea hufananii na muonekano wako
We c mtu mzima kabisa

Kumbe hunijui badala ya kuuliza uambiwe unakisia kisia. ..... utajashika matapishi kwa kukisia kisia kuwa labda ndo hiki au kile.

Kwa taarifa yako maana naona ulibaki nyuma wenzio wote wanajua ndo maana wako kimya. Kasie ni kigagula ukisema Kasinde ni mtu mzima unakuwa unanipunguzia umri wangu. Kigagula ni zaidi ya kibibi......

Ukimaliza kusoma meza mate shushia na maji ya moto kisha log out usije ukachefukwa zaidi.

Usiku mwema.
 
Wew na le mababyz ni ndugu?

Live the life to fullest ain't no shy, life is short!

Hapana hata simjui. ... ndo nani huyo?

Ooh yeah..... Full utilising resources.
 
Back
Top Bottom