kwa hiyo unaenda kuserebuka out au unaserebukia omOoohh yeah.. hear I am...
asee wewe bujibuji sijui ujiuji, unaniachaga nakenua tu! nikiona comment zako unavyotoka kwenye mada
Nifanyeje sasa yaani pesa sina. Mke sina na cheti sinaasee wewe bujibuji sijui ujiuji, unaniachaga nakenua tu! nikiona comment zako unavyotoka kwenye mada
hahahah my ribs plzNifanyeje sasa yaani pesa sina. Mke sina na cheti sina
Acha tu Jf iniliwaze
hata cheti cha kuzaliwa wamekutumbua!Nifanyeje sasa yaani pesa sina. Mke sina na cheti sina
Acha tu Jf iniliwaze
Holaaa...!!!
Its Fridayyyy... kwa wale ambao mifupa yao bado haijapinda na hawapati ukakasi kuinama na kuinuka basi mida ndo hiyooo inajongea ya kujivua gamba na kuzaliwa upya... hii inaitwa asiye na mwana aeleke jiwe..
Leo nina ashiki za kucheza mziki hadi majogoo na miondoko itakuwa ya Sean Paul, it'll be swinging up and down vs sideways and pour the esophagus with water....
If you feel like the way Kasie feel right now, just join me at the club...... am happy...😉
without forgetting my boo Shaggy...🙂
Happy Friday Happy people....
Kasie.😉 (..wasn't me...)
Hata sijielewi maana wizara imeniandikia barua ya promotion and transfer to Mtambaswala pori la Akiba nikawe mkuu wa pori Wakati mimi ni mtu wa sales and purchaseshata cheti cha kuzaliwa wamekutumbua!
Hata sijielewi maana wizara imeniandikia barua ya promotion and transfer to Mtambaswala pori la Akiba nikawe mkuu wa pori Wakati mimi ni mtu wa sales and purchases
No no... Nataka unidediketie wimbo mmoja mzuri wa taratibu, ili niusikilize weekend yote