Haruna Mohamed
Member
- Jan 2, 2016
- 5
- 2
Wanasiasa acheni Magufuli awatumikie wanyonge walioteseka na kukosa haki zao kwa muda mrefu.
Kwa kweli inashangaza sana kwamba wanasiasa wale wale waliokuwa wakipiga kelele kila kukicha kuwa serikali ya CCM inalea mafisadi ndiyo leo wanawatetea tena mafisadi hao kwa kukosoa mapambano ya JPM wakimwita dikteta, hamna hoja za msingi kwani mmepoteza mwelekeo kwa kuwasaliti wapiga KURA wenu!!