barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Mtikisiko wa kasi ya Rais JPM waingia @+254 sasa ni wazi kuwa harakati za Uchaguzi mkuu wa 2017 nchini Kenya na urafiki wa JPM na Raila Odinga utachukuwa nafasi.
Raila rafiki mkubwa wa JPM ni shabiki mkubwa wa Gor Mahia na team hii imekuwa ikitumika pia wakati wa harakati za RAO kuingia Ikulu, mara zote Gor Mahia hujinasibisha kama team ya kabila la Wajaluo, wengi wao wakiwa wafuasi wa ODM ya RAO.
Hivi karibu mashabiki wa Team ya Gor Mahia walifungua Tawi la Team yao na kulipa jina la "MAGUFULI BANCH",Tawi limekuwa maarufu na kupata mwitiko wa vijana wengi. Kwa siasa za @+254 Gor Mahia hutumika kuwakusanya vijana na mashabiki kuelekea siasa za uchaguzi mkuu...Urafiki wa JPM na RAO una nafasi katika uchaguzi mkuu wa mwakani nchini Kenya, huu ni mwanzo tu mengi yatafuatia