kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
Unakuta unapakua picha/video/faili lenye ukubwa mdogo tuu kama 8MB lakini inachukua zaidi ya dakika kumaliza kupakua. Shida iko wapi ya kasi ndogo ya intaneti??
Africa, na hasa Bongo hatuna haraka. Au mwenzetu unataka kuwahi wapi hasa?😀😀😀Unakuta unapakua picha/video/faili lenye ukubwa mdogo tuu kama 8MB lakini inachukua zaidi ya dakika kumaliza kupakua. Shida iko wapi ya kasi ndogo ya intaneti??
Huenda kuna ukweliTumeingia digitali bila kujitayarisha
Kuna mtandao mpya unaitwa Bongo?Unakuta unapakua picha/video/faili lenye ukubwa mdogo tuu kama 8MB lakini inachukua zaidi ya dakika kumaliza kupakua. Shida iko wapi ya kasi ndogo ya intaneti??
Unakuta unapakua picha/video/faili lenye ukubwa mdogo tuu kama 8MB lakini inachukua zaidi ya dakika kumaliza kupakua. Shida iko wapi ya kasi ndogo ya intaneti??
Tunatumia mitambo na mifumo ya kizamani sana.(Outmoded).
Kunakuwa na delay itokanayo na kutokumeet requirements za kasi ya Satellite kubwa(Inmasat & Ausat), ndiyo maana mataifa yanafunga satellite zao ili kumudu kasi ya bandwidth tunazotumia.
Tanzania inatumia fiber optic cable ( mkonga ) au satellite?Tunatumia mitambo na mifumo ya kizamani sana.(Outmoded).
Kunakuwa na delay itokanayo na kutokumeet requirements za kasi ya Satellite kubwa(Inmasat & Ausat), ndiyo maana mataifa yanafunga satellite zao ili kumudu kasi ya bandwidth tunazotumia.