Kasi ya intaneti bongo ni tatizo, shida iko wapi?

Kasi ya intaneti bongo ni tatizo, shida iko wapi?

Kwa Sie tulioishi nje tunajuta kurudi hapa bongo,so Internet tu kila kitu kipo slow...process haziendi..!
Umeme kukatika hovyo
Foreni zisizotafutiwa uvumbuzi
Internet data connection speed
Mzunguko Wa pesa hakuna
Biashara taaban
Barabarani Kila mita 50 kundi LA askari
Ukienda lipia TRA /ofisi ya serikali unaambiwa mtandao upo chini,hatupokei malipo!!!
 
Duh
 
Ila katika mitandao yote voda wana afadhali
 
Mzee.. Hapa Bongo tunaongoza kwa Huduma ya Internet ya gharama nafuu nadhani kwa East Africa nzima ila kwenye speed tunamzidi Uganda tu!
 
Ugonjwa wa kutiisha huu na unakuta 2G, 3G, 4G inapanda na kushuka ikishuka na aidownload pesa inaondoka vile vile.
 
Nafanya kazi kwa shida sana, hadi najiuliza ni nini? Nabadili line lakini wapi
 
Back
Top Bottom