Makambako1
Member
- Jan 17, 2020
- 25
- 38
Sijaona hoja yoyote hapo, unarukaruka tu.
Kumbe ni kweli, ili mtu awe na akili si lazima awe na PHDTuhuma ziko nyingi maadamu hajashitakiwa popote na Mahakama hana kosa lolote.
Nakubaliana na wewe ..... Mahakama ya Mafisadi imemshinda!!Mkuu mwenyewe mwizi tu.. anatoa kafara za uchaguzi 2020
Rais sio Mungu thus uandika vitabu kujutia makosa yao ya kutowashaurika.Nyerere akushaurika thus akauwa uchumi amekuja kuelewa akiwa keshachelewa rejea kitabu chake cha tujisahihishe,kama alijiona yuko perfect aliiandika kitabu cha nn kujutia makosa yake.Wananchi ni sawa na watazamaji mpira wao uona makosa mengi sana ya uwanjani ambayo atakujayaona akiwa nje nae akiwekewa recording player.Kuwa kiongozi si kwamba huna akili kuliko wote,jiulize kwann wenzetu wameruhusu kukosolewa lengo ili wajitazame wasianguke maana kila mkosoaji anayo hojaWewe ni nani hadi Raisi wa JMTZ asikilize ushauri wako? Huo ubinafsi unaomsingizia Raisi wa JMTZ unao wewe mwenyewe, unafanya projection kwa wengine. Ulitaka Raisi afwate ushauri wa watu zaidi ya milioni 45 sasa kuna haja gani ya kuchagua wawakilishi?
wewe ni nani?Wewe ni nani hadi Raisi wa JMTZ asikilize ushauri wako? Huo ubinafsi unaomsingizia Raisi wa JMTZ unao wewe mwenyewe, unafanya projection kwa wengine. Ulitaka Raisi afwate ushauri wa watu zaidi ya milioni 45 sasa kuna haja gani ya kuchagua wawakilishi?
Rais sio Mungu thus uandika vitabu kujutia makosa yao ya kutowashaurika.Nyerere akushaurika thus akauwa uchumi amekuja kuelewa akiwa keshachelewa rejea kitabu chake cha tujisahihishe,kama alijiona yuko perfect aliiandika kitabu cha nn kujutia makosa yake.Wananchi ni sawa na watazamaji mpira wao uona makosa mengi sana ya uwanjani ambayo atakujayaona akiwa nje nae akiwekewa recording player.Kuwa kiongozi si kwamba huna akili kuliko wote,jiulize kwann wenzetu wameruhusu kukosolewa lengo ili wajitazame wasianguke maana kila mkosoaji anayo hoja