CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.
Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.
Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.
Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.
Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Acha uongo na uzush wewe! Kwa hyo hcho chuo hakina ma dr wala ma prof? Mbona wapo wa ndan na nje ya nchi? Uzush mwngne bhana!?.Usimsifie baba mkwe wako sifia mkeo.Uwe unatoka udsm,mzumbe,sua,muce,muccobs,makumira,saut,dit haijalishi,2nataka kujua una nin kchwani na kinasaidiaje jamii?Et ooh mim udsm ooh mim sua mara mzumbe.Ya nin hayo?.Mbona wapo weng tu wanaojiita wametoka vyuo vikongwe had sasa wanasota tu kitaa?You must thnk critically!
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.
Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.
Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.
Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.
Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.
we jmaa mnafiki sana! Kachukue posho yako nkurumah hall kwa dr.kitila.
Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
Too sad.
My dear Young Master, hapo kwenye RED: You have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata tu!!
Halafu hii siyo kashfa ya UDOM peke yake. Ni kashfa ya vyuo vyote: UDSM, Saint Johns, etc
Ulitaka wauze majengo???