Nakubaliana na wewe tumuunge mkono raisi katika mambo mazuri kama kupambana na ufisadi lakini tumkosoe pia anapochezea katiba na sheria za nchiMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha Fast Team TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?? Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Mkuu kweli! Maccm ndio yanafisadi hii nchiNi hao hao ma-CCM tu!
Some other large African countries have failed to improve their scores on the index. These include South Africa, Nigeria, Tanzania and Kenya.
Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini??
Home shopping centeriWalewaleeeee
Ni GSM hapo hakuna kesi,pia habari ya huyu bwana haieleweki.Yamenaswa wapi?wakati TRA ndiyo wanaothaminisha mzigo?jee hayakulipiwa kodi?Home shopping centeri
Kwa kiasi kikubwa ufisadi umedhibitiwa awamu hii...kuliko awamu iliyopita acha mihemukoUfisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency