Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Apr 24, 2012 #61 mikela said: Je umewahi kuisikia hii? Click to expand... Makamba yupi? Unamsema Makamba mkubwa au huyu aliyezaliwa na Sheikh Yahya kwa mke ya Yusuf Makamba?
mikela said: Je umewahi kuisikia hii? Click to expand... Makamba yupi? Unamsema Makamba mkubwa au huyu aliyezaliwa na Sheikh Yahya kwa mke ya Yusuf Makamba?
MWANAWAVITTO JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 258 Reaction score 220 Apr 24, 2012 #62 Dr Slaa aliwahi kumuuliza namnukuu Dr wakati wa kampeni 2010 pale KARATU, Dr Slaa: "Yusuffu Makamba aeleze kilichomfukuzisha UALIMU wa shule ya msingi"
Dr Slaa aliwahi kumuuliza namnukuu Dr wakati wa kampeni 2010 pale KARATU, Dr Slaa: "Yusuffu Makamba aeleze kilichomfukuzisha UALIMU wa shule ya msingi"