Kashfa ya magari KCMC Hospitali

Kashfa ya magari KCMC Hospitali

GSF

New Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Kashfa ya magari KCMC Hospitali
@
Tsh 8,000,000/=

Viongozi waandamizi wa hospital ya rufaa kcmc wapeana magari na kutangaza kuwa magari hayo yatauzwa tarehe 06/09/2013. Wanaotajwa kujizolea magari hayo bila kuingia kwenye ushindani mapema kabla ya tarehe iliyotajwa kwenye matangazo ni
·Dr Moshi Ntabaye – Ambaye ndiyo Mkurugenzi mkuu na Katibu mkuu wa Shirika la Msamaria mwema ambaye ndiyo mmiliki wa ospitali hiyo amechukua gari aina ya Toyota Prado T ….ABQ
·MR Stanley Mbaga – Ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala amechukua gari lililotelewa na mradi wa KRHP-Harvard Project kwa hospitali aina ya Toyota Prado T246AAZ ambalo kwa sasa lina tatizo la Shock up absorber tu.
·Mrs Hilda Mungure – Mkurugenzi wa Fedha amechukua gari aina ya Land Rover TDi-110- T 690/679ADJ ambalo nalo lina matatizo ya battery tu.
·Prof Raimos Olomi – Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa Hospitali amechukua gari aina ya Nissan Double Cabin – T331 AEU ambalo ni zima kabisa.
·
Mrs Mary Mushi – Kaimu injinia mkuu wa Hospitali naye amechukua gari aina ya Mitsubishi Pajero namba STK iliyotolewa msaada na Serikali ya watu wa Japan kwa wizara ya afya.
·Mr Michael Mwandy – Dereva wa Mkurugenzi mkuu naye kapewa gari aina ya Toyota Double Cabin Hilux namba STK iliyotolewa msaada na Serikali ya watu wa Japan kwa wizara ya afya.

Wanafanya hivo kwa nia ya kujinufaisha kabla ya mabadiliko ya uongozi yanoyotarajiwa kufanywa na vikao vya juu vya hospitali hii kufuatia kuwepo madarakani kwa uongozi huu kinyemela toka mkataba wao kuisha rasmi toka tarehe 14/04/2013 na hatimaye kuongezwa kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia mwezi wa 08/2013.

Hofu kubwa miongoni mwa watawala hawanikutokuwa na uhakika wa kurudi tena kwenye nyadhifa walizonazo kwa sasa, hii inatokana na kashfa ya ubadhirifu ambayo imekuwa ikilalamikiwa na wafanyakazi wengi na watu wanaopata huduma katika hospitai hiyo kuwa huduma zinazidi kudorora kila siku zinavyozidi kwenda mbele.
 
Maskini kanisa langu na miradi yake , Mkuu wa kanisa upo?
Ila wewe nawe umejiunga Jf kwa habari hii tu?Napata wasi wasi kama ungenufaika na moja wapo ya hayo magari wala hii taarifa hapa isingekuwepo.
 
Viongozi waandamizi wa hospital ya rufaa kcmc wapeana magari na kutangaza kuwa magari hayo yatauzwa tarehe 06/09/2013. Wanaotajwa kujizolea magari hayo bila kuingia kwenye ushindani mapema kabla ya tarehe iliyotajwa kwenye matangazo ni ·Dr Moshi Ntabaye – Ambaye ndiyo Mkurugenzi mkuu na Katibu mkuu wa Shirika la Msamaria mwema ambaye ndiyo mmiliki wa ospitali hiyo amechukua gari aina ya Toyota Prado T ….ABQ ·MR Stanley Mbaga – Ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala amechukua gari lililotelewa na mradi wa KRHP-Harvard Project kwa hospitali aina ya Toyota Prado T246AAZ ambalo kwa sasa lina tatizo la Shock up absorber tu. ·Mrs Hilda Mungure – Mkurugenzi wa Fedha amechukua gari aina ya Land Rover TDi-110- T 690/679ADJ ambalo nalo lina matatizo ya battery tu. ·Prof Raimos Olomi – Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa Hospitali amechukua gari aina ya Nissan Double Cabin – T331 AEU ambalo ni zima kabisa. ·Mrs Mary Mushi – Kaimu injinia mkuu wa Hospitali naye amechukua gari aina ya Mitsubishi Pajero namba STK iliyotolewa msaada na Serikali ya watu wa Japan kwa wizara ya afya. ·Mr Michael Mwandy – Dereva wa Mkurugenzi mkuu naye kapewa gari aina ya Toyota Double Cabin Hilux namba STK iliyotolewa msaada na Serikali ya watu wa Japan kwa wizara ya afya.

Wanafanya hivo kwa nia ya kujinufaisha kabla ya mabadiliko ya uongozi yanoyotarajiwa kufanywa na vikao vya juu vya hospitali hii kufuatia kuwepo madarakani kwa uongozi huu kinyemela toka mkataba wao kuisha rasmi toka tarehe 14/04/2013 na hatimaye kuongezwa kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia mwezi wa 08/2013.

Hofu kubwa miongoni mwa watawala hawanikutokuwa na uhakika wa kurudi tena kwenye nyadhifa walizonazo kwa sasa, hii inatokana na kashfa ya ubadhirifu ambayo imekuwa ikilalamikiwa na wafanyakazi wengi na watu wanaopata huduma katika hospitai hiyo kuwa huduma zinazidi kudorora kila siku zinavyozidi kwenda mbele.

Mbona sijaiona kshfa unayosema,je si yameisha muda wake sasa yanauzwa kama taratibu za fedha zinavyoelekeza??Toa ufafanuzi wa kutosha vinginevyo tuwaombee Mungu awasaidie katika kuyatunza magari hayo.
 
Muombe mungu akusamehee kwa zambi kubwa ya uongo ulioyofanya< utaishi hivi mpaka lini kwa majungu yasiyo na mashiko>>> kuishi kwa umbea na uzandiki usio na sababu>> nyie ndiyo watu mnatakiwa kuchomwa moto kama kibaka kwa sababu ya sumu mbaya mnayo eneza<<<< fanya kazi kijana >>>> acha majungu yasiyo na tija>>

kashfa ya magari kcmc hospitali
@
tsh 8,000,000/=

viongozi waandamizi wa hospital ya rufaa kcmc wapeana magari na kutangaza kuwa magari hayo yatauzwa tarehe 06/09/2013. wanaotajwa kujizolea magari hayo bila kuingia kwenye ushindani mapema kabla ya tarehe iliyotajwa kwenye matangazo ni
·dr moshi ntabaye &#8211; ambaye ndiyo mkurugenzi mkuu na katibu mkuu wa shirika la msamaria mwema ambaye ndiyo mmiliki wa ospitali hiyo amechukua gari aina ya toyota prado t &#8230;.abq
·mr stanley mbaga &#8211; ambaye ni mkurugenzi wa utawala amechukua gari lililotelewa na mradi wa krhp-harvard project kwa hospitali aina ya toyota prado t246aaz ambalo kwa sasa lina tatizo la shock up absorber tu.
·mrs hilda mungure &#8211; mkurugenzi wa fedha amechukua gari aina ya land rover tdi-110- t 690/679adj ambalo nalo lina matatizo ya battery tu.
·prof raimos olomi &#8211; mkurugenzi wa huduma za tiba wa hospitali amechukua gari aina ya nissan double cabin &#8211; t331 aeu ambalo ni zima kabisa.
·mrs mary mushi &#8211; kaimu injinia mkuu wa hospitali naye amechukua gari aina ya mitsubishi pajero namba stk iliyotolewa msaada na serikali ya watu wa japan kwa wizara ya afya.
·mr michael mwandy &#8211; dereva wa mkurugenzi mkuu naye kapewa gari aina ya toyota double cabin hilux namba stk iliyotolewa msaada na serikali ya watu wa japan kwa wizara ya afya.

Back
Top Bottom