Wote wamoja tena Voda pasua kichwa hasa nimedai pesa zangu mimi sina hamu nao. Na sasa wameanza wizi mwingine juzi nimeweka 5000 nijiunge internet ya wiki, wakasema pesa haitoshi kuulizia salio wakakata nikabakiwa na shs. 4,900 sent kidogo baadae nikaamua kuweka 5000 nyingine naletewa meseji nina 5800 badala ya 9000 kurudi nyumbani aambiwa hivyo hivyo yamemtokea na mwingineNdio maana huwa siwezi kukaa bila line ya voda. Kwingineko huduma mbovu, uhuni mwingi.
Tutahakikisha haki zenu hazipotei kizembe .Wote wamoja tena Voda pasua kichwa hasa nimedai pesa zangu mimi sina hamu nao. Na sasa wameanza wizi mwingine juzi nimeweka 5000 nijiunge internet ya wiki, wakasema pesa haitoshi kuulizia salio wakakata nikabakiwa na shs. 4,900 sent kidogo baadae nikaamua kuweka 5000 nyingine naletewa meseji nina 5800 badala ya 9000 kurudi nyumbani aambiwa hivyo hivyo yamemtokea na mwingine
Zipi? Hizo za voucher mnazotuibia au hizi za M pesa? Maana kama ni Mpesa mwezi mzima unazungushwa tu ukikata tamaa hesabu maumivu kama za voucher utarushaje na mmeshazikata?Tutahakikisha haki zenu hazipotei kizembe .
Kwanza kabisa pole kwa usumbufu kama mteja wa tigo/pesa.Wakuu Naomba hili tuliangalie kwa jicho la tatu .
Kuna malalamiko mengi sana kuhusiana na ucheleweshaji wa kurudisha fedha za wateja zinazotumwa kwa makosa kwa watu wasiohusika .
Ukiongea na customer care unaambiwa fedha zako ziko salama na utarudishiwa ndani ya masaa 24 lakini hawarudishi hata baada ya wiki , ukiwauliza unaambiwa utaratibu ni lazima wawasiliane na yule uliyemtumia hela , na kwamba kutokupatikana kwake ndio sababu ya kuchelewesha kurudisha hela , uongo mtupu ! Maana ni kwamba wateja wote hata kama wako hewani , hakuna ofisa yeyote wa Tigo anayejishughulisha kuwapigia simu kama wanavyodai , Tatizo liko wapi ? Ni kweli kwamba baadhi ya watu wa kitengo cha fedha si waaminifu kama nilivyodokezwa na mtu wa jikoni ? Na kwamba wanasubiri baadhi ya wateja wakate tamaa ili wazipige hela zao ?
Viongozi wa TIGOPESA tupeni majibu .
NB - UZI HUU NI WA UCHUNGUZI NA UTAENDELEA KUONGEZWA NYAMA KWA KADRI TAARIFA ZINAVYOTUFIKIA .
Ndani ya masaa 24 ni utaratibu tu wa kazi.....lakini voda wakijirishisha tu unarudishiwa mzigo wako papo hapoWezi tu hao mbona Vodacom ukikosea ndani ya saa 24 unakuwa umerudishiwa fedha yako
Hata hao vodacom madudu YaleyaleWezi tu hao mbona Vodacom ukikosea ndani ya saa 24 unakuwa umerudishiwa fedha yako
Nilipata tatizo kama lako wakadai mwenye simu anadaiwa ila simu haiko hewani kiukweli bot inabidi waingilie kati watu hawa wanaendesha wiziMimi nilituma hela kutoka tigo kwendaa airtell elfu 50 kwa bahati mbaya nikawa nimekoasea namba nilituma kwa mtindo wa hela kuingia kwenye account moja moja baadae nikawasiliana na tigo wakanizungusha baadae wakanambia hela imeshatolewa na wakati mimi nikiipiga ile namba haipatikan nikaenda airtell wakasema hiyo line ilikuwa inadaiwa so sytem ime deduct hiyo hela had huyo mtu aje aweke hela ndio wao wataiota kuiruhisha tigo huyo mtu mwenyewe alikiwa anadaiwa 110,000 alikopa kwenye timiza sasa hapo nilishindwa kuelewa nani alitakiwa kusimamia haki yangu na nani kaniibia maan kama nime comfirm hela ni zangu na nimekosea kutuma why niwajibike kulipa hela mtu mwingine policy zao sizijui ndio maana sikujua pakuamzia nilirud tigo nikawaelezea ishu kamili wakasema hwana cha kufanya sababu hela ipo mikononi mwa airtll..nipo dar na nilienda tigo mliman city na airtell miliman city na morroco had niakaachana hiyo hela...jiulize aliepo mkoani..!
Siyo tu unapokosea, mimi nilituma kutoka kwenye tigo pesa kwenda kwenye account yangu ya bank. Kwenye account haikufika na kwenye tigo pesa wametoa pesa. Nimewapigia wakaniambia nisubiri 72 hrs, leo ni siku ya 12 wananiambia kila siku nisubiri inashughulikiwa!!!! Wanaudhi sana sanaTigo wana process flani hivi ndefu sana ya kurudisha hela pindi unapokosea kumtumia mtu hela..
Inabidi wabadilishe..
Tigo wezi tu.Wanapenda kusumbua wateja,kama wewe ndio mwenye namba na umepiga urudishiwe pesa kuna haja gani ya kumtafuta third party waongee nae nini sasaWakuu Naomba hili tuliangalie kwa jicho la tatu .
Kuna malalamiko mengi sana kuhusiana na ucheleweshaji wa kurudisha fedha za wateja zinazotumwa kwa makosa kwa watu wasiohusika .
Ukiongea na customer care unaambiwa fedha zako ziko salama na utarudishiwa ndani ya masaa 24 lakini hawarudishi hata baada ya wiki , ukiwauliza unaambiwa utaratibu ni lazima wawasiliane na yule uliyemtumia hela , na kwamba kutokupatikana kwake ndio sababu ya kuchelewesha kurudisha hela , uongo mtupu ! Maana ni kwamba wateja wote hata kama wako hewani , hakuna ofisa yeyote wa Tigo anayejishughulisha kuwapigia simu kama wanavyodai , Tatizo liko wapi ? Ni kweli kwamba baadhi ya watu wa kitengo cha fedha si waaminifu kama nilivyodokezwa na mtu wa jikoni ? Na kwamba wanasubiri baadhi ya wateja wakate tamaa ili wazipige hela zao ?
Viongozi wa TIGOPESA tupeni majibu .
NB - UZI HUU NI WA UCHUNGUZI NA UTAENDELEA KUONGEZWA NYAMA KWA KADRI TAARIFA ZINAVYOTUFIKIA .
Asante , lakini vipi kama wanadanganya kwamba wanawasiliana na mteja uliyemtumia pesa wakati hawajisumbui kuwasiliana naye , na wakati huohuo yuko hewani na anaonyesha ushirikiano ?Kwanza kabisa pole kwa usumbufu kama mteja wa tigo/pesa.
Kama unatuma pesa kwa mteja wa tigopesa alie sajiliwa JINA LINATOKEA kukosea kupo lakini kukurejeshea pesa baada ya kukosea kuna njia zake n utaratibu wake.Mfano: A kamtumia B lakini A kumbe kamlipa deni B lakini yy A anasema kakosea ndio ugumu unapo kuja ni mpk B apigiwe simu kisha akubali kua kweli kapokea kima kosa hyo pesa.
Kutuma pesa kwenda MTANDAO MWINGINE hii kweli changamoto kiasi kwakua ukituma pesa AIRTEL/VODA/ZANTEL kimakosa.Cha kwanza kabisa piga kule waifungie ile line iliyopokea pesa kimakosa.Baadae ndio upige tigo kwa msaada zaidi.
Na kwa mteja ambaye HAJASAJILIWA wa tigopesa jitaidini kutuma kwa FUMBO LA SIRI ambayo hawezi toa mpk apate namba yako ya simu.na kwa hii uwa inarejea kwako mara baada ya kumaliza kuongea na namba 100.Au baada ya siku 7 hata kama hujaongea na namba 100.
Hili ndio linaongoza zaidi kwa wateja wasio wa aminifu kupata huduma za kimwili {ngono} na kumlipa mtu wake pesa.Baada ya kumaliza haja zao wanazuia pesa wakisema wamekosea kutuma.
Ndio zinazo chelewa sana.
Au mdeni n mdeni /VIKOBA/UPATU//WAPENZI.
Nashea nanyi kama WAKALA/MTEJA WA TIGOPESA.
hakuna mtandao/company hisiwe na mapungufu ila tigo wamezidi aisee,,niliwai lala na salio la elf2 kwenye simu nikaamka asbh nna mia7Wakuu Naomba hili tuliangalie kwa jicho la tatu .