Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
hivi jamani, tuseme ukweli, tz ikifungua milango yote, hata kama tukaamua kuliweka suala la ardhi free kwa east africa wote, nani atapata hasara? nchi gani itakuwa kwa kasi kuliko zote katika easta africa hiii? wapi patachanua kuliko kote katika ukanda huu, hebu nielimisheni jamani mimi sikusoma uchumi.
mbona mimi naona hakuna sababu kwa tz kujitenga na easta frica, tufanye tu kama wanavyofanya wenzetu, hata mkenya akija kupata ardhi hapa hawezi kuihamisha, bali atajenga nyumba hapahapa tz, hawezi kwenda kujenga kule, construction industry itakuwa kwa kasi sana, agriculture itakuwa kwa kasi sana na tz kutachangamke kuliko hivi sasa...
kwani watz wa kuiendeleza hiyo ardhi hawapo kuna watu wana hela mpk basi sera ya ardhi ya tz na ubabaishaji katika kupata ardhi kunatucost.