Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
iwanawaficha wakenya wenzao wengi. uhamiaji kuna nini? mmelala?
hata mimi nikiwa na shule yangu ya watoto (english medium) nitaajiri wakenya, wabongo wanaojua kingereza wako wapi, unataka waniharibie watoto wangu? watoto wasijeanza kuongea kiingereza cha kiswahili bure.ukimuamsha alielala?
shule zote za primary za private arusha walimu wengi ni wakenya!
so huku bongo hatujui kiienglish? kwanza angalia perfomance ya elimu ya bongo toka zimeanza hizi shule za wakenya na enzi za st kayumba?hata mimi nikiwa na shule yangu ya watoto (english medium) nitaajiri wakenya, wabongo wanaojua kingereza wako wapi, unataka waniharibie watoto wangu? watoto wasijeanza kuongea kiingereza cha kiswahili bure.
hata mimi nikiwa na shule yangu ya watoto (english medium) nitaajiri wakenya, wabongo wanaojua kingereza wako wapi, unataka waniharibie watoto wangu? watoto wasijeanza kuongea kiingereza cha kiswahili bure.
wachina wahindi na wazungu etc si watu hatari kuliko nyang'au, tusicheze na nyang'au ati...mi nikimkuta mchina wala sina shida naye.Uhamiaji ni uozo mtupu, kila commishna ana kitu wanaita chaka!!! Chaka ni mahali anapatia pesa ya hongo!!! Sasa unasema wakenya, mbona hii ni kidogo, ulizia wako wachina wangapi nchini hawana hata vibali wanafanyia kazi katika makazi yetu na uhamiaji wanajua. Ukifika kuwakamata tu basi wanapiga simu kwa vigogo!!!! Hivi tuna usalama wa Taifa nchi hii?
ukimuamsha alielala?
shule zote za primary za private arusha walimu wengi ni wakenya!
wachina wahindi na wazungu etc si watu hatari kuliko nyang'au, tusicheze na nyang'au ati...mi nikimkuta mchina wala sina shida naye.
hata mimi nikiwa na shule yangu ya watoto (english medium) nitaajiri wakenya, wabongo wanaojua kingereza wako wapi, unataka waniharibie watoto wangu? watoto wasijeanza kuongea kiingereza cha kiswahili bure.
we una akili sana, kama vyuo vikuu vyetu vimeleta Kiingereza cha Kikwete na Mulugo! Am pretty sure watoto wa darasa la 2 Kenya wanawazidi hawa watu kwa fluency, semantics and synthax
we unaona wakenya na waganda wanafahamu kiingereza gan? ungekaa kimya ungeficha upumbavu wako. hujiamin na huna hata hekima. unadanganyika na kiingereza chao kibovu?