Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mleta mada acha chuki binafsi, naona we ndo wale mnaofikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa.
 
Ukitaka kupima kwa urahisi uwezo wa mtu kichwani mwake tazama anayopenda kuyasoma, na yamtokayo mdomoni.

Mleta uzi huu, anajidhihirisha alivyo mweupe kichwani. Hakika ni KAPI!!!
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
So WHAT? Kwani akiwa na VYETI vingi tatizo ni nini? Basi acha shahada zake zoooooooooote. baki na MD. Hiyo peke yake yamfanya aitwe daktari. Au siyo Dr. Kigwangwalah? Tuacheni wivu wa....(hapa nawaulizieni jinsi alivyomaliziaga P. Msekwa). Ukisoma KWA KUUNGA, mie naona siyo tatizo. Ali muradi ULIVYOMALIZA!
 
Mi nilijua tu kama jamaa hajaoa kaskazini basi kuna kitu kinamuunganisha kumbe daktari wa Mtei family
 
Wajinga wameanza kujianika. Kama hujui ukweli kwa nini wagonjwa wale walikufa MNH muulize mheshimiwa Rais Magufuli au aliyekuwa waziri wa afya wakati ule wanaujua sana ukweli kwamba ni kutokana na serikali kupuuza ukweli waliousimamia Dk Ulimboka na Dk Vicent Mashinji wa kufanya mabadiliko na kuipa hospitali hiyo vifaatiba, dawa, vitendea kazi na masurufu ya maana.

Na ukweli huo umekuja kujidhihirisha baada ya mheshimiwa Rais kufanya ziara ya kushtukiza Muhimbili. Katika hili huwezi kuwadanganya watanzania.

Inawezekana katibu mkuu huyo mpya wa CDM ana mapungufu yake lakini asibandikwe uchafu wa Muhimbili uliokuwa wa Kikwete na serikali yake.
 
Nyie Ccm si mbaki na huyo mwizi wa rasilimali za nchi wacheni kiherehere nawa chadema hayawausu
 
KILAZA MKUU? tatizo la lumumba kuruhusu kuongozwa Na Yule std7
 
Hahahahaaaaa na Kinana ni mtuhumiwa wa kesi gani? Hivi yupo kweli Kinana!!!?
 
Si mpo na Mwizi wa rasilimali za nchi ya Chadema yaache
 
Inaonekana una hasira naye huh...
 
 

Mkuu hizo herufi zinaumiza. Utadhani kichwa cha habari!!!
 



Baba na mama yangu walinifunza ni busara kukaa kimya ili kuficha ujinga wako. Malaika Mkuu ulichoandika sina sanction nacho Bali umetumia jazba na kuonyesha upungufu wako kielimu.
T"TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS? "
Naomba nitafsirie hilo neno la.mwisho kwenye sentensisentensi yako hapo juu yenye herudi kubwa pls.
 
Ovyo kabisa kwa uandishi huo,unaweza kukuta ni darasa la saba af unayemtukana ana Phd,waswahili bana mwenzako ana passo af wewe unasema sio gari wakati we hata baiskeli huna ,mung atusaidie
 
"TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS? "
Naomba tafsiri ya neno Intellectuals, maana mliosoma ni hazina ya taifa hili.
Kwako Malaika Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…