Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA




nakumbuka ulimboka mkamnyofoa kucha na kumua kikatiri sana. safi sheria ilifuata mkondo wake
 
Naona mabuku saba wamejazana huku JF wanajambajamba tu wamenunuliwa MB..Mtavuna sana leo mshazoea viporo
 
Seng.e kazini, vijana 46 wanahaha kutafuta pa kushika na kutoa uongo wao
 
CCM NI SHIDA SANA, MBONA HAMUWASEM ACT?
 
Mbona povu linakutoka mkuu
 
. Tayari mmeisha anza
 
Kwa kweli huyu Katibu aliyewekwa siyo kiwango kabisa.inamaana chadema hapo ndio mwisho wenu kweli.?
 
Shiiiiiit!
Herufi kubwa ni kupiga kelele! Unaelewa hilo?
 
umeshachukua buku 7 yako ndo ukaamua uje na alinacha zako hapa.....shame on you!
 
Katibu mkuu wa Chadema hakushiriki mgomo wa mwaka 2012! Yeye aliuratibu mgomo wa mwaka 2005!!
 
Mods kuacha Uzi kama huu ni kashfa kubwa na kuvunja heshima ya jukwaa. Katika yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja lenye substance
 
Hii nchi mie nashangaa hasa utawala wake maana kwa sasa tembo hawaoti meno sababu ya katibu wa chama ila mamlaka ziko kimya.
Nilikuwa juzi serengeti na familia yangu,meno ya tembo ni mafupi ajabu na wengine hawana meno kabisa japo wana watoto na hata wajukuu.
Kuulizia tatizo nikaambiwa ni kutokana na stress zinazotokana na kuwindwa na majangili.
Sasa ninavyopita humu mitandandaoni nasoma katibu wa chama cha kijani ni jangili,polisi na mamlaka za wanyama pori wako wapi kumkamata huyu jamaa?.
Watu wa kijani jibuni hizi tuhuma.
 
Uzi wa kishamba na kizamani sana, hata kama umetunga ujinga huh lakini sio kishamba hivi, hata kuongeza chumvi kidogo tumeshindwa. Naona haya yote ni kwa sababu mhusika humjui ndio maana.
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.

Unaijua maana ya CV? iko siku utaelewa maana ya kuwa na certificates nyingi. Hata hivyo umehangaika kutafuta elimu ya Kinana? hao ndo watumishi wetu ktk siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…