Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Chanzo :blog ya saleh jembe

***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa Emanuel Amunike aliingia kambini kwa Taifa stars na ali demand Tanzania ifungwe kwa idadi kubwa ya magoli,inadaiwa clip ipo kuna afisa wa Tff aliirekodi

**Wabunge walioenda Misri walidai walipwe posho( hili maafisa wa TFF wanaogopa kuliongelea wasije wakaitwa kwenye kamaati ya kushughulikiana kule DOM)
**Kwenye mechi ya kenya wakati TZ ikiongoza 2-1 half time badala ya Amunike kuwaongezea maarifa wachezaji yeye alitumia muda huo kuwatukana haswa Kelvin Yondani aliyemuambia kwamba anacheza kama mwanamke hali iliyopelekea yondani kulia kwa dakika moja na nusu huku wachezaji wengine wakikasirishwa na maneno hayo ,ilimlazimu mbwana samata kuingilia kati kuwatuliza wachezaji

Kipindi cha pili kenya wakasawazisha na kuongeza jingine huku yondani akijifanya kaumia na kukataa kuendelaa na mchezo.Tusi hilo la wewe ni mwanamke inadaiwa ndilo alilopewa Abdi banda kule lesotho na Amunike na Banda hakumkopesha akamjibu kwamba yeye ni mwanaume siyo mwanamke akawa frozen kwenye team kwa madai ya utovu wa nidhamu

***Amunike huyohuyo baada ya kuona wachezaji hawampendi ndiye aliyeanzisha mgogoro wa kupandisha posho toka dollar 75 hadi 300 per day bila kuwasiliana na TFF,alifanya hivyo ili wachezaji wawe side yake

INAVYOONEKANA BWANA AMUNIKE ANAHUSIANA NA MAGENGE YA KAMARI maana hiyo issue ya wakala wake kutaka stars igongwe magoali mengi na Algeria plus alivyowatoa wachezaji kwenye mood dhidi ya kenya wakiwa wanaongoza 2-1 ni dhahiri hakutaka washinde.
 
Haahaa si kwa Algeria ile mkuu,hapo kuna ukakasi.
ilijulikana algeria ingeshinda ila wakala wa amunike ambaye ni mwarabu ali demand stars ipigwe goal nyingi ,hivi unajua odds za wacheza kamari?ningewaheshimu takukuru kama wangemuhoji saleh jembe na huyo afisa wa Tff mwenye hiyo clip ya huyo wakala maana hata Congo tumesikia jinsi Moise . katumbi alivyomuhonga keeper wa zimbabwe akaachia zile goals 4
 
Algeria hawahitaji kutuomba ili watupige goli nyingi.
muwe mnaelewa basi watu wengine...kha?huyo ni wakala wa Amunike aliyetaka hivyo maana yake alitaka walau goals 7 hadi 10 kuna magenge ya kamari yatakuwa yaliweka labda odd ya Tanzania kufungwa 10 au 15-0 hapo ikitokea kuna mtu anakula hela nyingi kila mtu algeria alijua angeshinda ila ingetokea 15 -0 huoni ni wehu huo?
hiyo issue siyo ndogo ni kamari kabisa hiyo.
 
Write your reply...
mmh haya ma buku 7 yapo kazini
huu mchezo amunike karushiwa mpira!
eti alimuita yondani mwanamke! hivi yondani huyu huyu tunaemjua?
mbona wangetafutana humo ndani?
 
Chanzo :blog ya saleh jembe

***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa Emanuel Amunike aliingia kambini kwa Taifa stars na ali demand Tanzania ifungwe kwa idadi kubwa ya magoli,inadaiwa clip ipo kuna afisa wa Tff aliirekodi

**Wabunge walioenda Misri walidai walipwe posho( hili maafisa wa TFF wanaogopa kuliongelea wasije wakaitwa kwenye kamaati ya kushughulikiana kule DOM)
**Kwenye mechi ya kenya wakati TZ ikiongoza 2-1 half time badala ya Amunike kuwaongezea maarifa wachezaji yeye alitumia muda huo kuwatukana haswa Kelvin Yondani aliyemuambia kwamba anacheza kama mwanamke hali iliyopelekea yondani kulia kwa dakika moja na nusu huku wachezaji wengine wakikasirishwa na maneno hayo ,ilimlazimu mbwana samata kuingilia kati kuwatuliza wachezaji

Kipindi cha pili kenya wakasawazisha na kuongeza jingine huku yondani akijifanya kaumia na kukataa kuendelaa na mchezo.Tusi hilo la wewe ni mwanamke inadaiwa ndilo alilopewa Abdi banda kule lesotho na Amunike na Banda hakumkopesha akamjibu kwamba yeye ni mwanaume siyo mwanamke akawa frozen kwenye team kwa madai ya utovu wa nidhamu

***Amunike huyohuyo baada ya kuona wachezaji hawampendi ndiye aliyeanzisha mgogoro wa kupandisha posho toka dollar 75 hadi 300 per day bila kuwasiliana na TFF,alifanya hivyo ili wachezaji wawe side yake

INAVYOONEKANA BWANA AMUNIKE ANAHUSIANA NA MAGENGE YA KAMARI maana hiyo issue ya wakala wake kutaka stars igongwe magoali mengi na Algeria plus alivyowatoa wachezaji kwenye mood dhidi ya kenya wakiwa wanaongoza 2-1 ni dhahiri hakutaka washinde.
Wanigeria wamebobea mno kwenye utapeli na kamari

lisemwalo lipo...
 
Back
Top Bottom