Hilo la Yemen ni la hukohuko labda na Interpol,hilo oyster bay linachunguzika hapahapa,lkn sidhani kama ni sahihi kukimbilia huku JF
Si umwambie sasa sehemu sahihi ya kukimbilia..wewe umewezaje kuweka shida zako humu yeye asiweze
Hilo la Yemen ni la hukohuko labda na Interpol,hilo oyster bay linachunguzika hapahapa,lkn sidhani kama ni sahihi kukimbilia huku JF
Hilo shirika lipo linahusika na masula ya resettlement. Mi nafanya kazi ktka makambi ya wakimbizi na project ya kuwasafirisha wakimbizi kwenda nchi kama marekan, canada, Australia n. k zinasimamiwa na IOMKuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
NA hii ndio nembo ya hilo shirikaKuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
Mkuu sio kwa mikataba ya kibiashara!! Hiyo verbal contracts kwenye biashara hakuna, labda umeisoma tu chuoni, kwenye real deals hakuna kitu Kama hicho!!MKATABA NI MAKUBALIANO KATI YA PANDE HUSIKA INAWEZA KUWA KWA MDOMO YAANI ANA KWA ANA MKAZUMGUMZA MKAKUBALIANA .AU KWA KUMTUMA MWAKILISHI AU KWA MAANDISHI MAKUBALIANO YOTE HAYO NI AINA ZA MIKATABA
Aha sasa napata picha, nilisikia maalim seif ana kitabu cha kusafiria kutoka international organisation.NA hii ndio nembo ya hilo shirikaView attachment 446176
Hilo shirika lipo linahusika na masula ya resettlement. Mi nafanya kazi ktka makambi ya wakimbizi na project ya kuwasafirisha wakimbizi kwenda nchi kama marekan, canada, Australia n. k zinasimamiwa na IOM
Toka dunia ianze, Matokeo ya mdomo kuzidi kasi uwezo wa ubongo hayajawahi kuwa mazuri.
Hujawahi kwenda hata Lusaka utalijulia wapi?Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
IOM inadili na kazi ya kurudisha wakimbiz makwao kasulu, kibondo na kigoma ndo base zaoKuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
Usidharau....mafundi wetu wa Kitanzania. Wako vizuri kweli...!!Yaani fundi uashi toka Tanzania akajenge yemen,kule hamna mafundi,,
hii ni fake news
UWONGO PASEEYaani fundi uashi toka Tanzania akajenge yemen,kule hamna mafundi,,
hii ni fake news
Badala ya jeshi letu la polis kupambana na matukio kama haya na takukuru kuyafuatilia kwa undani wanabaki na kuhangaika na jf na max meloNsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili.
![]()
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi. Picha ndogo, Ghalib Said Mohamed mmiliki wa kampuni ya GSM na Home Shopping Centre
Ukatili huo ni pamoja na kudhulumiwa mali na wafanyabiashara Said Sadi na Ghalib Said Mohamed.
Akisimulia mkasa huo huku akilia, kijana huyo anadai kufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo kutaka kunyongwa ndani ya chumba cha mahabusu kilichopo Kituo cha Polisi Oystebay, kitendo anachosema kiliratibiwa na jeshi hilo kuwasaidia wafanyabiashara hao kupoteza ushahidi lakini amekuwa akilalamika bila kusaidiwa.
“Nimekuwa nikitumiwa na baadhi ya vigogo wa polisi wanajidai kutaka kunisaidia lakini wakifika kwa huyu jamaa wanakaa kimya, polisi wanashirikiana na huyu aliyekuwa mmiliki wa Home Shoping Centre (HSC), kutesa watu, na mimi wanakataa kunilipa milioni zaidi ya 250, nilizofanyia kazi nikiwa kwao Yemen,” anasema Omary.
Akisimulia mkasa wa tukio, Omary anasema alipewa zabuni ya kujenga jengo la ghorofa 3 nchini Yemen bila kupewa mkataba, akakataa lakini alinyang’anywa hati zake za kusafiria na kuteswa kikatili hali iliyopelekea akubali.
“Nilisaidiwa na watu wa shirika la kimataifa la wahamaji (International Organisation for Migration) kurudi Tanzania, lakini tangu nimerejea nchini, hawa jamaa wa iliyokuwa Home Shoping Centre na GSM wana nguvu serikalini hadi ndani ya vituo vya polisi,” anasimulia.
Katika barua yake ambayo amewaandikia viongozi kadhaa wa taasisi za serikali ambayo MwanaHALISI online imeiona Omary amesema, viongozi hao wamewekwa kwenye mfuko na wafanyabiashara hao, kiasi cha kuifanya serikali idharaulike.
“Unasikia, hili suala linajulikana pote polisi, afande Marijani analipotezea kwa muda mrefu, nilielekezwa kwa afande wa Interpol anaitwa Ngonyani.
“Pia Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, (Takukuru) wanalifahamu lakini ndugu yangu kila aliyetaka kunisaidia huishia kukaa kimya, natamani sasa kumwona rais anisaidie,” anasisitiza.
Omary katika andishi lake ametaja hata viongozi wa dini ambao wamekuwa wakijipatia fedha kutokana na tatizo lake ambalo polisi wameshindwa kulifanyia kazi.
Ninatishwa, ninaambiwa hawawezi kufanywa lolote ndani ya nchi hii, wakisikia nimelalamika kwenye ofisi yeyote ya serikali hata polisi hunijibu “wewe unapolalamika unaenda kwao, sisi tunawaita wanakuja tulipo, unajihangaisha.”
Anadai tarehe 23 Julai 2015 alitekwa na Gharib Said Mohamed pamoja na Faisal kisha kupelekwa Masaki na kwamba, alipigwa na akawa hajitambua.
“Nilipojitambua nilijikuta Kituo cha Oysterbay nimefunguliwa mashtaka likiwemo la kumtukana rais, kutaka kulipua Ikulu, kukutwa na silala na niliwekwa rumande siku 46 bila kufikishwa mahakamani na namba ya jalada ilikuwa OB/IR/6365/2015, na OB/IR/11770/2015.
Nilipofikishwa mahakamani nilikuta mashtaka tofauti ambayo yalifutiliwa mbali na hakimu sababu hayakuwa ya kweli.
MwanaHALISI Online, limewasiliana na afande Lucy Ngonyani, aliyeshughulikia suala hilo na kukiri kuwa, analifahamu, yupo likizo na yeye sio msemaji wa jeshi hilo.
Alipoulizwa Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo alisema, “huyo kijana anapaswa afike ofisini kuniona, kama suala lake halijatekelezwa sio kuja huko kwa vyombo vya habari.”
Mtandao huu uliwatafuta watuhumiwa hao (Said Sadi na Gharib Sadi Mohamedi) kupitia simu zao za mkononi, pamoja na simu zao kuita kwa muda mrefu, hazikupokelewa.
Na hata walipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu zao, hawakujibu.
Chanzo: Mwanahalisi Online
Mbona unaleta uchama kwenye maisha ya mtuHiko chanzo chako cha habari nimepoteza imani nacho.

Haya weka details zako
Hso jamaa ni baba zake makondakta hawaguswi hso
Google acha uvivu!!! Unauliza kwani hauna bundle?Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
Kuna kitu ukiambiwa huna haja ya kusikiliza upande wa pili! Hapa ni sawa na kwa wakristo kaambiwa Yesu ni mwana wa Mungu huna haja ya kuhangaika kumtafuta mungu kumuuliza ni kweli ni mwanao? Yaani unaamini kutokana na maelezo na watu waliohusikaKwa thread kama hizi sioni shida JF kufungiwa maana mtu anakuja na story ya upande mmoja na watanzania tulivo vigwaza tunafanya conclusion na kuchochea character assisination
Si mumlipe fundi yaisheKwa thread kama hizi sioni shida JF kufungiwa maana mtu anakuja na story ya upande mmoja na watanzania tulivo vigwaza tunafanya conclusion na kuchochea character assisination
Jaman naomba msikatae hawa jamaa wabaya sanaYaani fundi uashi toka Tanzania akajenge yemen,kule hamna mafundi,,
hii ni fake news