localizer
Senior Member
- Jul 25, 2015
- 121
- 70
Rushwa ,Uroho wa Maaraka na ana utajiri usiokuwa na maelezo ,amejilimbikizia mali nyingi sana.
acha kuropoka toa ushahidi bro
Rushwa ,Uroho wa Maaraka na ana utajiri usiokuwa na maelezo ,amejilimbikizia mali nyingi sana.
Pengine inaweza isiwe kashfa ya moja kwa moja ya Ufisadi lakini kwa kuwa swali ulilouliza ni kuhusu 'kashfa nyingine ya Mh. Lowassa ni nini'? Nitakueleza.
1. Matumizi mabaya ya Madaraka:
Kwa jutumia cheo chake aliwahi kuwatisha
-Aliyekuwa kiongizi mmoja wa TBL baada ya kuorder kreti 500 za bia kwa sherehe yake binafsi, bila ya malipo kwa kutuma ki_note kisemacho "nashukuru kwa msaada wako wa kreti 500 za bia"(ushahidi upo)
Kulazimisha ufaulu wa mwanae(MUCHS) na mdogo wa mkwe wake(MUHAS) waliokuwa wakisoma Chuo kikuu cha Afya na Tiba ya Sayansi Muhimbili.(ushahidi pia upo)
2. Afya yake:
Huwa ninafurahi ninapomuona Obama takribani mara zote anaposhuka au kupanda ndege yake kuwa na uchangamfu fulani na kuonyesha uimara wake kiafya. Siombi/wala kusema ni lazima Mh. Lowassa nae afanye hivi(ofcourse kuna picha zipo akifanya "mazoezi"), lakini ninachokisema Afya ya "the white" ni mgogoro, hili twalijua hata kupunga mkono kwa nguvu tu bado ni shida.

Duuh! Mkuu hiyo no 2 mbona kama ni out of topic, inahusishwaje na ufisadi?Pengine inaweza isiwe kashfa ya moja kwa moja ya Ufisadi lakini kwa kuwa swali ulilouliza ni kuhusu 'kashfa nyingine ya Mh. Lowassa ni nini'? Nitakueleza.
1. Matumizi mabaya ya Madaraka:
Kwa jutumia cheo chake aliwahi kuwatisha
-Aliyekuwa kiongizi mmoja wa TBL baada ya kuorder kreti 500 za bia kwa sherehe yake binafsi, bila ya malipo kwa kutuma ki_note kisemacho "nashukuru kwa msaada wako wa kreti 500 za bia"(ushahidi upo)
Kulazimisha ufaulu wa mwanae(MUCHS) na mdogo wa mkwe wake(MUHAS) waliokuwa wakisoma Chuo kikuu cha Afya na Tiba ya Sayansi Muhimbili.(ushahidi pia upo)
2. Afya yake:
Huwa ninafurahi ninapomuona Obama takribani mara zote anaposhuka au kupanda ndege yake kuwa na uchangamfu fulani na kuonyesha uimara wake kiafya. Siombi/wala kusema ni lazima Mh. Lowassa nae afanye hivi(ofcourse kuna picha zipo akifanya "mazoezi"), lakini ninachokisema Afya ya "the white" ni mgogoro, hili twalijua hata kupunga mkono kwa nguvu tu bado ni shida.
Mti wenye matunda hupigwa mawe, hata waseme nini kura yangu itabaki kwa mzee wa kazi Lowassa.