Kashfa mpya ya Mradi wa Dollar Billion 60

Ingekuwa kweli ungeweka taarifa zote hapa
 
Chances za hii habari kuwa ya kweli ni 0.001 kati ya 1,000.
 
Chances za hii habari kuwa ya kweli ni 0.001 kati ya 1,000.

Mkuu Hii Habari inafanana Na Yule aliesema Kuna Mradi wa Viwanda vya Cement 3 vya Thamani ya Dola Billion20[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Trillion 42. Tena Kwenye Gazeti sijui walimnukuu Nani Vileeee...[emoji849][emoji849]
 
Mkuu Hii Habari inafanana Na Yule aliesema Kuna Mradi wa Viwanda vya Cement 3 vya Thamani ya Dola Billion20[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Trillion 42. Tena Kwenye Gazeti sijui walimnukuu Nani Vileeee...[emoji849][emoji849]

Haijakosewa kuitwa bongo mkuu
 
Duuuuh hasa we jamaa kweli noma.......

Unamaanisha trions 120+ au mi naota?....
mkuu mbona unaenda kasi sana, muulize kwanza ni dola za wapi??? za marekani, Zimbabwe, Namibia au za wapi??
 
acha kukurupuka mkuu.. amekwambia ni dollar za inch gani???
 
Naona ukajifunze hesabati kwanza. Dola bilioni 60 ni zaidi ya pato la nchi GDP kwa mwaka ambalo ni dola bilioni 44. Kenya yenyewe pato lake lote kwa mwaka ni dola bilioni 63. Haiwezekani kuwe na watu wameiba zaidi ya pato la nchi la mwaka. Asiyekuwa na kitu hawezi kukitoa! Kwa maana, kama huna shilingi tano itawezekanaje umpe mtu shilingi tano?
Naona hizi zitakuwa bilioni 60 pesa ya madafu!
 
Na nyie mnaoendeleza mada hii hamna shughuli ya muhimu? Mshaona bayana kuwa mtoa mada ni mzushi, kisa cha kuiendeleza mada husika ni kipi?
 


Unaijua Dola (US) Billion 60 wewe? Au unajiongela tu? Huwo ni Utajiri wote wa Bill Gates, sasa kuna uchumi gani wa kuiba Dola Biloni 60 TZ?
 
Wameiba kwenye nini na ni lini tena kwa mtindo gani? Maana kama una kakitu unaogopa kutueleza
 
Mkuu inayozungumziwa ni zaidi ya trillioni 120.... Huo mpunga si wakitoto.... Mradi wa kujenga bandari ya bagamoyo na gharama zake zote bado haijafika robo ya hiyo pesa.... Bongo hakuna watu wa kuweza kuipiga pesa kama hiyo, hata uko dunia ya kwanza hawawezi......
 
akili za UVCCM ni matope matupu,hiyo dola bilioni 60 nchi hii itoke wapi? huo ni utajiri wa watu jamii ya bill gates na bajeti ya Tanzania ya miaka minne
Labda wameuza nchi wakapata mihela utajuaje?[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji12]
 
No, hakuna kitu kama hicho..!!

Dollar bil. 60 may be hujui ni kiasi gani..!!

Kwa mwaka tu Tz total taxes collection ni $ 6.0 bil

So hii ni kusema KODI YOOOOOTE YA TZ kwa MIAKA 10...

Kuwa makini, $ 60 bil is not a cup of tea..!!

Don't take easy..!!

Bill Gates ni tajiri namba moja duniani.. with $ 82 bil..

Be careful [HASHTAG]#HNIC[/HASHTAG]
 
Kama wasukuma wapo, hakuna kesi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…