Kashfa: Askofu Kweka, bintiye wagombea mali

apewe chake kipii , askofu kalinunua hilo shamba, kama yy mary alipewa nafasi ya shule akadharau kutegemea urithi imekula kwake
 
Adhabu pekee inayokufaa ni kukupuuza kwa pumba unazoongea. Halafu pia usimchukulie Askofu ni malaika, naye pia binadamu anaweza fanya dhambi vilevile. Ninakuahidi kukupuuza kwa comment yoyote utakayotoa kwenye thread hii.
Lazima ukimbie kwakuwa umeshajijua kuwa una ubongo wa Panya. Wewe unatakiwa uelewe kuwa Magazeti ya Bongo sio reliable source ya taarifa has a zinazohusu kashfa. Utajuaje kama mwandishi aliyeandika hiyo stori hana ugomvi binafsi au hajanunuliwa na adui binafsi wa huyo Askofu?
 
Askofu aachie shamba kulinda heshima yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…