MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,218
- 43,754
- Thread starter
-
- #21
Nakuunga mkonoHuo Ni mfumo dume uliojengeka Tu,kwani wanaume wangapi wanaachiwa Mali na wanaishia kwunywea viroba na piua?na watoto wa kike wangapi wanasimamia Mali za urithi,labda babaake aliona ndio mwenye akili kuliko wengine thats y akamuachia cha msingi Mary apewe chake,
Kwakuwa gazeti limemtuhumu Askofu basi tuhuma ni za kweli? Acheni kuchafua watu. Tuhuma ni kitu kingine na uhalisia ni kitu kingineHabari JF,
Leo katika gazeti la Raia mwema kuna hii habari inayomhusu Askofu mstaafu Erasto Kweka wa KKKT anaegombea eneo la ekari 12 na binti wa ndugu yake bi. Mary Kweka. Kwa mijibu wa habari ni kuwa baba mzazi wa binti wakati wa uhai wake alimpa askofu shamba awe akilishia mifugo yake ila Askofu akajimilikisha mojakwamoja na mara baada ya kifo cha Baba Mary huyo askofu akaja na madai kuwa alishauziwa. Askofu alipoulizwa na mwandishi kuhusu hizo tuhuma alijibu sio kweli na huyo Mary sio mtu wa ukoo wao.
Binafsi nimepatwa na wasiwasi mkubwa kwenye uadilifu wa Askofu huyu aliyejipatia heshima kubwa. Ninaamini JF ina watu wengi wanaoweza kutuweka sawa katika hili.
Karibuni.
Usi generalize wewe.. . Tena kama babako na mamako hawajakufundisha, Mimi ndo nakufundisha sasa, ishu zinazowahusu wachungaji USIKURUPUKE Ku-KomentiSijui kwanini asilimia kubwa ya watu waliookoka na wale wa swala tano matendo yao ni tofauti na wanavyotuaminisha...angalia hata mtaani kwenu matendo yao yalivyo...huyo Askofu amewakilisha hao.
Naliona tatizo la msingi sana kwenye uwezo wako wa kufikiri na kufanya judgement. Gazeti ndo linakufanya uwe biased? Kesho likija na taarifa ya kuomba radhi kuwa walikosea nina je? Na wewe utakuja hapa kuomba radhi? Usiwe kama una ubongo wa panyaTutolee huu ushuzi wako hapa. Mtoto wako ni mrithi wako automatically bila mjadala. Na huyo Kweka huenda anataka kudhulumu.
usi
usiangalie upande mmoja tu, wapo watumishi wa umma walioficha mali kwa majina ya wadogo zao au shangazi zao, haujawahi ona mtu anastaafu kazi ghafla biashara za ndugu zake zinaanza kuyumba? yapo makampuni baada ya kigogo wa serikali kustaafu maroli yote yanabadilishwa majina. Wapo mapadre wanamajumba na magari yaliyoandikwa kwa majina ya ndugu zao.
Huyu mtoto anataka kumdhulumu mtumishi wa mungu, anaona akitumia media basi mzee ataona aibu na kumwachia.Mkuu hii hoja yako inahusiana nini na madai ya huyo mtoto kwa babake mdogo? Unataka kuhalalisha dhulma?!
**Two wrongs.......
Wanawake wangapi wameachiwa mali wakakaa kulea viserengeti boys na ving'asti, tena wanawake ndio wachafu hamana mfano, akiachiwa mali yeye kila siku kuoa vivulana.Huo Ni mfumo dume uliojengeka Tu,kwani wanaume wangapi wanaachiwa Mali na wanaishia kwunywea viroba na piua?na watoto wa kike wangapi wanasimamia Mali za urithi,labda babaake aliona ndio mwenye akili kuliko wengine thats y akamuachia cha msingi Mary apewe chake,
Una hoja nzuri...!Huyu mtoto anataka kumdhulumu mtumishi wa mungu, anaona akitumia media basi mzee ataona aibu na kumwachia.
Inasikitisha sana!Sijui kwanini asilimia kubwa ya watu waliookoka na wale wa swala tano matendo yao ni tofauti na wanavyotuaminisha...angalia hata mtaani kwenu matendo yao yalivyo...huyo Askofu amewakilisha hao.
Huyu mtoto anataka kumdhulumu mtumishi wa mungu, anaona akitumia media basi mzee ataona aibu na kumwachia.
Adhabu pekee inayokufaa ni kukupuuza kwa pumba unazoongea. Halafu pia usimchukulie Askofu ni malaika, naye pia binadamu anaweza fanya dhambi vilevile. Ninakuahidi kukupuuza kwa comment yoyote utakayotoa kwenye thread hii.Naliona tatizo la msingi sana kwenye uwezo wako wa kufikiri na kufanya judgement. Gazeti ndo linakufanya uwe biased? Kesho likija na taarifa ya kuomba radhi kuwa walikosea nina je? Na wewe utakuja hapa kuomba radhi? Usiwe kama una ubongo wa panya
Huyu mtoto anataka kumdhulumu mtumishi wa mungu, anaona akitumia media basi mzee ataona aibu na kumwachia
Eddy unaloliongea ni sawa kabisa. Na ndio ukweli ulivyo. Since i know both sides of the story very well - nimegundua kuwa magazeti wakati mwingine yanapotosha sana ukweli na haki ya mtu inaweza kupotea au mtu kuchafuliwa kwa namna hii.
Mbona umekuja kwa speed hivo na WW Ni mmoja wao nini,labda hukunielewa nlichotaka kusisitiza Ni Kula mtu Ana haki ya kurithi Mali regardless Ni me au ke,kwahiyo we ukiwa na Mali uta.rithisha jirani kwakuwa umezaa mabinti?Wanawake wangapi wameachiwa mali wakakaa kulea viserengeti boys na ving'asti, tena wanawake ndio wachafu hamana mfano, akiachiwa mali yeye kila siku kuoa vivulana.
Mtumishi wa Mungu hatapata hasara Duniani,amuachie tu huyo binti,anyenyekee kulinda ushuhuda wake mzuri.