Huh! its work kumbe unaweza kulala na bundi ukaamka mwenye bahati dah!
najiuliza ni kitu gani kilisababisha usipate maambukizi muda wote uliokuwa naye, niki-assume we ni kijana.
Kuna baadhi ya vipimo si vizuri, vinachanganya, kwa mfano mtu anaugua kifua kikuu bila hiv anaweza kuonekana mgonjwa wa hiv.
Jaribu kupima tena na mwenzako. Kama anao, cheza bahati nasibu yoyote, maana kwa bahati yako utashinda tu.