Kaseja anaua viwango vya makipa wengine simba

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha
 
Huyo Dogo ni noumer hata akiwa anaharisha na kuna mechi anavaa pampers(diaper) ili akae golini tu
 
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha
Kwa hiyo kosa la Kaseja ni lipi? Kaseja hapangi timu, benchi la ufundi lipo, kuna kocha mkuu, kocha msaidizi, kocha wa makipa, kuna meneja wa timu hadi daktari yupo, kama daktari kathibitisha kwamba Kaseja yuko fiti na makocha nao wakampanga unataka akatae kukaa golini kisa amedaka muda mrefu au kwa sababu kuna wengine; yeye hajawahi kung'ang'ania golini. Siku makocha wakiacha kumpanga utaona wengine wanakaa golini wala usianze kumlaumu eti anaua viwango vya wengine, na kama kukaa kwake golini angekuwa anauwa viwango kweli kama unavyosema hicho kiwango cha Ally Mustafa cha kugombea namba na Berko asingekuwa nacho leo maana kakaa muda mrefu sana Simba hivyo kiwango kingekuwa kimekufa muda mrefu.
 
Tatizo yani ya hizi timu mbili( Yanga na Simba) ni kuendeshwa na Wazee na sio kocha wala wataalamu wengine wa soka! Yani kocha anaburuzwa hadi kwenye upoangaji wa timu
 
Huu ni uonevu tu,kipa gani asiyefungwa duoiani! Kaseja amefanya kazi yake amefungwa kwa bahati mbaya kama alivokuwa anafufungwa yaw berko na barthez.Kinachoonekana simba wameichoka sura ya kaseja golini kwao but ipo siku mtamkumbuka na kuona thamani yake.LAKINI siku nyingine msitumie boti la barafu kuwakimbia mabwana zenu
 
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha

Sijajua unataka kutuaminisha nn, kama alivyosema mchangiaji flani kuwa Juma hapangi team sasa kama anapangwa na daktari hajadhibitisha kama anaumwa, je yeye afanyeje? Ukumbuke kuwa ni huyohuyo Barthez aliachiwa goli na Kaseja alipoenda Yanga mwaka 2008, na mashabiki wa Simba walimchoka Mustapha kwa muda mchache sana kwa madudu aliyokuwa anafanya kuanzia na kombe la KAGAME ambapo wote Simba na Yanga walitolewa nusu fainali. Kama unakumbuka watu wa Yanga walikuwa wanasema kwa kumchukua Kaseja wameibomoa Simba na ni kama lango liko wazi
 
Mi sioni kama kuna shida hata kidogo, tokea naifahamu Real Madrid sijawai kubahatika kumwona kipa mwingine anadaka tofauti na Iker Casillas kwa hiyo hata Kaseja mwacheni adake zake bana maana kila zama na kitabu chake
 
Kwa hiyo kosa la Kaseja ni lipi? Kaseja hapangi timu, benchi la ufundi lipo, kuna kocha mkuu, kocha msaidizi, kocha wa makipa, kuna meneja wa timu hadi daktari yupo, kama daktari kathibitisha kwamba Kaseja yuko fiti na makocha nao wakampanga unataka akatae kukaa golini kisa amedaka muda mrefu au kwa sababu kuna wengine; yeye hajawahi kung'ang'ania golini. Siku makocha wakiacha kumpanga utaona wengine wanakaa golini wala usianze kumlaumu eti anaua viwango vya wengine, na kama kukaa kwake golini angekuwa anauwa viwango kweli kama unavyosema hicho kiwango cha Ally Mustafa cha kugombea namba na Berko asingekuwa nacho leo maana kakaa muda mrefu sana Simba hivyo kiwango kingekuwa kimekufa muda mrefu.

kaseja ndumba sana
 
Alimpiga ndumba mdogo wangu enzi za maximo mpaka leo hawezi kucheza soka tena...karudi kambini kulinda maana alikuwa mwanajeshi anakipiga na trans camp
 
*msimbazi mnaweweseka..wenzenu tunakula kuku huku simbakapakatwa*:becky:
 
Mkuu mi naona huna hoja kaseja anapangwa mechi zote kulingana na kgwango alichonacho then makipa wengine wanatakiwa kuongeza juhudi ili waweze kupangwa (si sahihi kumpamga mchezaji kama hana kiwango the hiyo ni challenge kwa makipa wengine kwa sababu kaseja anajituma kitu ambacho kinamsaidia) binafsi namsifu milovan kwa kumpanga kila mechi kulingama na ubora wake
 
tatizo listi inapangwa na viongozi badala ya kocha
 
huyo kijana anatokea kigoma hivyo mwogopeni kama ukoma..
 
Mtoto mbaya sana huyo ni wa kumkalia mbali...hatari sana huyo kijana!pesa zake anamalizia huko sijui hata kama anafikiria hatma yake baada ya soka au ataishia kuolewa na mijimama...maana ndio zao hizo!wapenda mseseleko
 
Hivi jana aliitwa Stars? Nitashangaa sana maana siku hizi tuna magolikipa wengi wazuri zaidi yake.
 
Nasikia anaushirikina sana.
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy tu,hta kma ndio bora klabuni au tz nzima kuna ulazima wa kuwajaribu na makipa wengine waliopo simba hta ktka zile mechi zinazoonekana ni za kawaida.
kucheza mechi zote kwa kaseja ndiko kuliko muondoa ally mustapha simba baada ya kuona kuja kucheza kwake mechi itakuwa ni ndoto,ss kma kila mechi ni kaseja tu? wale makipa wengine msimbazi wanafanya nn? au wapo kwa ajili ya mazoezi tu? huko ni kuua soka la bongo,bora bartez aliliona hlo mapema na akatimkia zake yanga ambako ss hv anacheza na kutishia namba ya yaw berko,kwa makipa wa simba kma kweli wanataka kucheza na wajulikane,ni bora wajumlishe akili za kuambiwa na zao...nawasilisha
 
Dunia nzima, timu ikishampata kipa namba moja, akawa yuko fit kiafya na kiakili, huwa habadilishwi. In short, nafasi ya golikipa sio ya kucheza kwa zamu. Mfano nani anamjua kipa namba 2 wa Real Madrid? Barcelona je, ni lini Valdes aliachwa nje kumpisha kipa mwingine huku akiwa mzima kiafya, kiakili na hana kadi? Man U je, unakumbuka enzi za Van der sar? Vipi Juve an buffon?

Hata hapa nchini, vipi kipindi cha Maximo, kuna kipa mwingine zaidi ya Ivo Mapunda ikiwa ni mzima, hana kadi, na hajashuka kiwango?

Hata Yanga, rotation yao ni kutokana na kutokuwa fit kwa Berko na mkataba walioingia na Barthez. Kwa hiyo Kaseja hapaswi kulaumiwa kabisa. Pili anapaswa kupongezwa kwa kujitunza, na kulinda kiwango chake kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita na kwa kweli ni mchezaji ambaye wachezaji wengi wanamengi ya kujifunza kutoka kwake

Hata hivyo benchi la ufundi la simba linapaswa kumpumzisha kama binadamu hasa kwenye mechi ndogondogo ili asitumike kupitiliza hasa ukizingatia ni golikipa wa timu ya taifa
 
Back
Top Bottom