Kasahau nini kwangu?

Kasahau nini kwangu?

Dawa yake ni kumchunia tu.. Silence yako itamuumiza ile mbaayaa. Hataelewa kuwa umdharau au una goma jipya au ni nini ataumiajee..
 
‘One who loves the most, suffers the most, but one who loves the least controls the relationship' Matokeo mengine yatategemea na hekima ya huyo alie na control, Mwenye hekima atajali upendo wako na kuuthamini, aliye mpumbavu atabweteka na kuona kwake umefika so atakuchukulia vyovyote atakavyo, ila ukishashtuka/amka then ndio anaanza kujikanyaga kanyaga na kuomba msamaha usio na kichwa wala miguu. kwa hiyo wewe songa mbele tu.
 
what i know, first love never ends, wewe upo na mtu mwingine lakini kiukweli kuna mazuri bado unayakumbuka na hata hivyo ulikuwa bado unampenda pindi anakufanyia visa, hapo ulipo ni mwili tu ila bado moyo upo kwa mshikaji.
 
what i know, first love never ends, wewe upo na mtu mwingine lakini kiukweli kuna mazuri bado unayakumbuka na hata hivyo ulikuwa bado unampenda pindi anakufanyia visa, hapo ulipo ni mwili tu ila bado moyo upo kwa mshikaji.

sidhani kama nitakuja kumbuka kwa jins alivyoniumiza nililia sana bila kujali hisia zangu nikafika mwisho mungu kanisaidia nimempata anaenipenda eti anakuja na kusema bado ananipenda shitiiiiiii!
 
achana nae huyo hakufai,wakati anakutenda alikuwa anadhaniaje au alijua kwake ndo umefika.
 
bidada narudia msemo wangu nlokuwa nawaambiaga kwamba siku zote rafiki /bf asikupelekeshe hakufai ni staili ya kiatu unavua na kuvaa kingine full stop.
 
happy amos , achana nae huyo ni mfujaji. Utazeeka na bado hatokupenda, mtu design hiyo keep silence. Nilimtia mmoja adabu hivyo hivyo, sijui alijiamini vipi kuwa yeye ndo mwanaume pekee.Mpaka leo hataki kusikia hata jina langu.

lol
 
Last edited by a moderator:
Mweee mwana weeeh ukibugi stepu ukarudi kwake umekwisha!!tupa kuleeee

ukigeuka nyuma tu ushaharibu mashart ya mganga atakufanya ndondocha lake, chapa lapaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu


shaurilo atakuendea kwa waganga huyo,,,
wanaume wa siku iz kwani tuna maana basi...!
 
Back
Top Bottom