Kasababisha nitembee na rafiki yake

Kasababisha nitembee na rafiki yake

Àcha sifa za kijinga...unajipa promo!?
 
Nakuonea huruma pindi binti yako akifikia umri wa kugegedwa jinsi atakavyolisifia jamaa la rafki yake, atagegedwa na kupostiwa kama ulivyofanya ww
 
Nashukuru Mungu nimevuka hicho kipindi cha kumfanya mtu na rafki yake halafu najisifia. Ewe Mungu, endelea kuniongoza nisirudie huo utoto.
 
yani sentensi ya kwanza tells it all... Sijahitaji hata kusoma yote... Kwa wewe kufanya hivyo ni uamuzi wako, kwani ulishikiwa kisu shingoni?.. Wala usimlaumu mtu, ilikuwa ni uamuzi wako wote.. Own it!
 
yaani kuna vitu vitatu
1.ww ni pepo
2.girlfriend kahaba
3.rafikiye ni jini.
kwa iyo wote sawa tu. kwa sbb hata uyo gfriend bado hampo sawa kihalali
 
Ndio maana hii nchi haiendelei.Nguvu kazi kama hii badala ya kuweka wazo la kibiashara hapa. watu wappate fursa yy anajisifia kugegegeda.Kazi ipo.
 
Yan watu wengine wananakuja humu kujisifia eti nimemgegeda Rafiki yake afu anataka ushauri kwa ushauri wangu kwako kwanza huna heshima kwa girlfriend wako ,pia wewe mwenyewe ni ngonoka mzembe.
 
Ikiwa hujasoma the whole story kama mimi like hapa ajue kuwa next time afupishe
 
Hii tabia ya kutunga story na kuipost JF siku hizi imeshamiri sana hasa jukwaa hili. Ngoja na mimi nitengeneze ya kwangu niitupie
 
Back
Top Bottom