Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

Risasi zote hizo alikuwa amezihifadhi kwa ajili gani???!!!
 
kanchi haka kana mambo mengi sana tusubiri tutatokea wapi
 
"Sheria za zanzibar haziruhusu mtu kumiliki bastola" heeeeeee! Makubwa. Kumbe na sheria zao wanazo, jamuhuri ya muungano wa...... Sheria mbili tofauti, ambazo rais wa jmt hazigusi wala kupita kwake. Safiiiii
 
Ndo mumuelewe Warioba. Yaani mfumo wa nchi mbili serikali 3 upo na utaendelea kuwepo. Tatizo ni lugha tu inayotumiwa na ndo ugomvi wenyewe.period
 
Hakuna issue yeyote hapo ni siasa za bongo tu za kuchonga bila standard. Jamaa ana vibali vyote sidhani anaweza kuwa mjinga kiasi hicho , tatizo hapo ni idadi ya risasi za bastola , kwa gobore lake hilo huwa zinatolewa kwa minajili ya kilimo kulinda mazao shambani na wanyama wahalibifu hiyo atapangua tu. Risasi za bastola ni 25 lkn zikiisha lazima pia upate kibali cha polisi kununua hapo sidhani kama kuna idadi ilimradi kila ukiona zimeisha unapewa kibali. Na hii anaweza pia kuchoka maana kama huwa anaenda kufanya mazoezi ya shabaha basi zitakuwa zinaisha na unahaki ya kupata zingine kwakuwa hiyo ni silaha ya kujilinda, tatizo je anafanyia wapi mazoezi hayo ( polisi au jeshini) na huko kuna kuweka sahihi ,Yeye ni mtanzania akiwa na kibali anatembea na silaha yake popote nchini hapa. Sasa hapo ndio tume ya katiba itoe majibu. Siasa tu hizo za majitaka. Wasimsumbue jamaa polisi wakakamate wauza madawa ya kulevya huko yanaua nguvu kazi ya taifa.
 
Ni haki ya mtoto wake Karume kumtetea mjomba wake ndugu wa mama yake na vile vile mume wa shangazi yake.
 
Ni haki ya mtoto wake Karume kumtetea mjomba wake ndugu wa mama yake na vile vile mume wa shangazi yake.
Na ndio maana hawatakwepa wote kuingizwa shimo la giza linalowasubiri Uamsho, kwa vile walikuwepo ilipoasisiwa.
 
Ni haki ya mtoto wake Karume kumtetea mjomba wake ndugu wa mama yake na vile vile mume wa shangazi yake.

Mmmmh sasa mbona hapa sipaelewi, same person ni mjomba na mume wa shangazi? Inamaana wameinterchange varables?
 
Yawezekana vp nchi moja kukawa na upande waruhusiwa kumiliki kisha upande mwingine ukawa hauruhusiwi? huo muungano hapa uwapi?

Nchi moja ipi unayoizungumzia? Wapi uliposikia nchi moja ina serikali mbili? Tunalazimishwa kuamini kuwa 1+1 = 1 nawe unakubari? Fikirisha ubongo japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…