Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
hela alizopewa na CCM zimeisha sasa ameamua kuwakubali ndugu zake. IT'S ABOUT TIME , EVERYTHING WILL BE OUT IN THE OPEN! Muungano wa kulazimishana sio muungano. Hao walioungana wamesha kufa long time. tuliobaki tuangalie maslahi yetu na sisi. mimi sioni faida ya muungano,bali balaa tu. Zanzibar kuna njaa kama uchafu. hii yote sababu ya muungano. ENOUGH IS ENOUGH . KAMA HUO MUUNGANO UNGEKUA NA MANUFAA WATU WASINGE UPINGA KAMA KULE MAREKANI.(THE UNITED STATES OF AMERICA) .SİSİ TUNATIANA NJAA TU. UPUMBAVU MTUPU. KILA ANAYE TAKA MUUNGANO AANGALIE KWANZA KUNA MANUFAA GANI SIO AFUATE MKUMBO. MIMI SIONI MANUFAA ILA MATATIZO TU. WABARA MNADANGANYWA SANA . AMKENI.Rais wa Zanzibar, Amani Karume hajahudhuria kwenye sherehe za Muungano katika uwanja wa Uhuru. Sababu kubwa iliyoelezwa ni kuwa hali mbaya ya hewa imesababisha ashindwe kutoka Zanzibar kwa ndege kuja kwenye sherehe hizo. Lakini...
Kuna ndege nyingi nimeshuhudia zikitua na kuruka Dar na hizo \inahusisha ndege ndogo zinazotokea Zanzibar. Nimeszishuhudia ndege hizi kwa sababu hapa ninapoishi ni kati ya uwanja wa ndege Dar na Zenji, huwa zinakatisha hapa.
Pia, ipo helkopta ya jeshi ambayo imeweza kutoka Zanzibar hadi Dar, na ikakatiza Uwanja wa Uhuru na mshereheshaji akaatangazia watu kuwa helkopta hiyom ilikuwa inaangalia/inapima hali ya hewa ili kuona kama ndege itakayombeba Rais Karume itafika Dar.
Lakini kuna ndege mbili (za kivita) zimepita uwanja wa Uhuru kama sehemu ya maonyesho ya sherehe hizo.
Ndio maana nimebaki najiuliza kwa nini rais Karume ameshindwa kufika Dar kwenye sherehe hizi? Sikubaliani na hili la hali ya hewa kwa sababu hali ya hewa haikuwa mbaya kiasi cha kuzuia Ndege ya Rais Karume kutoka Zanzibar na kutua Dar.
Najiuliza, kwa nini Rais Karume amekacha sherehe za Muungano mwaka huu?
Rais wa Zanzibar, Amani Karume hajahudhuria kwenye sherehe za Muungano katika uwanja wa Uhuru. Sababu kubwa iliyoelezwa ni kuwa hali mbaya ya hewa imesababisha ashindwe kutoka Zanzibar kwa ndege kuja kwenye sherehe hizo. Lakini...
Kuna ndege nyingi nimeshuhudia zikitua na kuruka Dar na hizo \inahusisha ndege ndogo zinazotokea Zanzibar. Nimeszishuhudia ndege hizi kwa sababu hapa ninapoishi ni kati ya uwanja wa ndege Dar na Zenji, huwa zinakatisha hapa.
Pia, ipo helkopta ya jeshi ambayo imeweza kutoka Zanzibar hadi Dar, na ikakatiza Uwanja wa Uhuru na mshereheshaji akaatangazia watu kuwa helkopta hiyom ilikuwa inaangalia/inapima hali ya hewa ili kuona kama ndege itakayombeba Rais Karume itafika Dar.
Lakini kuna ndege mbili (za kivita) zimepita uwanja wa Uhuru kama sehemu ya maonyesho ya sherehe hizo.
Ndio maana nimebaki najiuliza kwa nini rais Karume ameshindwa kufika Dar kwenye sherehe hizi? Sikubaliani na hili la hali ya hewa kwa sababu hali ya hewa haikuwa mbaya kiasi cha kuzuia Ndege ya Rais Karume kutoka Zanzibar na kutua Dar.
Najiuliza, kwa nini Rais Karume amekacha sherehe za Muungano mwaka huu?
Acha kulewa tende wewe!habari kutoka ikulu.
wazanzibar wenye msimamo mkali kwenye smz walimfata wakampa kweli
kumwambie akawaambie mabwana zake kuwa wazanzibar hawataki muungano?
alipokataa wao wakasema watatuma ujumbe?
na wakampaka na kumwa,mbia kua babu yake ni mdoriani mwera na kaiharibu zanzibar kwa kufadhiliwa
ndipo aliposhikwa na tumbo la kuharisha.
kwani hivi sasa hana uhusiano mzuri na wazanzibar halisi ila wale watumwa na wauaji na wakuja yaani wahamiaji bila ya sheria.
na kikwete anayajua hayo
habari kutoka ikulu.

Mhhhhh... Kwani Zenj kibuku inapatikana?
Acha kulewa tende wewe!
Ni jambo la kusikitisha lakini inabidi tujiulize maswali magumu,muungano utadumu huu? Na nini hatma ya wapemba walio wengi barahabari kutoka ikulu.