Alkelokas
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 203
- 104
- Thread starter
- #21
Kwanza inaonekana anatamaa halafu inawezekana kunamtu alikua anamdanganya sasa kaona haeleweki kaamua kuludi kwako nahapo kwako atakua mguu ndani mguu nje ningekua mm wala nisinge mpokea coz cpendi zalau kama alizingua mwanzoni nampaka akakuludishia pesa jiulize nn kimemludisha achana nae huyo sio mwanamke wakujenga mji nikichomi halafu anamawazo mgando wanawake wa cku hizi wanazingua sana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
nafkri amekurupuka kwan pesa kaztuma kwa mtu kabla hata hazjafka mkonon kaanza kupga cmu.yan ilikuwa jana ucku ndo alinambia anamtumia mdogo ake shuleni kwan mim ni mwalimu nafundisha anaposoma mdogo ake,hata hvo kabla cjaenda hata shule saa 12 kapga cmu kuwa nicwambie home wala mother ake,halafu nilipofika shule nkaona dogo ake anakuja kunipatia pesa.