Asante sn Kwa ushauri mkuusasa huyo ndiyo bora kwako kwa sababu alolichokosea ni sehemu yake ya kujifunza kuliko ukitafuta mwingine naye lazima akukosee ndio ajifunze..kwa hiyo mchukulie kukosea kwake ndio kujifunza kwake
Kila LA kheri
ila ww[emoji23][emoji23][emoji23]Saa 10 na nusu usiku...[emoji15]
Mtt unaniumiza moyo wwila ww[emoji23][emoji23][emoji23]
Well,what a brilliant advice,asante Mkuu nimekuelewa sana sana.-Km hajazaa.
Kama hajaambukizwa magonjwa.
Kama hajatoa mimba .
Kamba hajazulumu MTU uko.
Kama
Kama hauna mwanamke mwingine .
Unaweza kumfikiria ,,natena Usiwe naharakaaa ya kumkaribisha sana malangon mwako ,, atajua wee boyaa ....ukumbuke mwanamke nimtu anayetumia nguvu kubwa sana Ku manipulate mwanamme ,anaweza mpaka akalia kwakutoa damu lkn kumbe moyon mwake hana anachokijutia kabisaaaaaa.
So take time ,,, naukitaka uwe naaman naye zaidi ,,umfanye kwanza kua Rafiki ndio baadae umwambie *we can be together*..
Hujui ,,wenda uko amekimbia sababu Uchumi wajamaa wake umeyumba !!! You see my point ???...... So anarudi kwako sababu *UCHUMI WAKO UMEIMARIKA* ....
mkuuu sijui unanielewa hapa !!!......
Aiseeeee achana kabisa na habar za kuiamin ahadi ilotolewa WAKAT WA MAJONZI ...UTAKUJA KUUMIA ZAIDI......
UYO DEM NOW ANA FRUSTRATION KWAIYO ANAFANYA KILE KINACHOKUJA AKILIN MWAKE ,, NAHUWEZI AMIN ,, HATA UKINIPA NAMBA ZAKE SAIZI ,ALAFU NIKAMTONGOZA ATANIKUBALIA TUU KWASABABU YUPO KTK UHITAJI WA HARAKA WA KURELIEVE FURAHA MOYON MWAKE .
KWAUFUPI MKUU ,,TAKE TIME ,, UJIPLEASE KWAMBA YES SASA TUNAWEZA KUA WAPENZI.
NIKATIKA HUO MUDA UTAKAOKUA UMEMPA NDIO NAYEYE ATAKUA ANAJUTIA SANA KOSA LAKE.
,,,,,,ET WAT IF ,,KM AMEKUKA KWAKO NA UMEMKARIBISHA , KUMBE MWENZAKO ALIKWARUZANA NAJAMAA KITU KIDOGO ,NASASA JAMAA ANAMWAMBIA ,*baby Pete hii nilonunua nisurprise tosha ya mwaka mpya* you are my wife !!!...
Unahisi dem hatokuacha tena ????.kwa wanavyopenda ndoa ivi !!....
Mkuuu , Mpe muda kwanza ,,mfanye km rafiki upunguze maumiv yasokua yalazima....sasa wee mwanamme haraka haraka Alafu aje akupige pigo lingine ukabaki unaugulia mwaka naaibu juu.
HukwepeshiHapo ni kuangalia tu moyo wako unavyotaka kama unaonai ni tamaa tu ilimfanya akuache ila bado anakupenda kwa dhati na wewe umeridhia sio mbaya mkarudia kuyajenga.
Na ikiwa unaona anajiliza kwa sababu hana pa kuegemea baada ya kukitembeza sana na hana mapenzi kwako sio vibaya ukampa kweli yake ili apate kunyamaza na yeye aangalie ustaarabu mwingine.
ugua pole sweerie☻Mtt unaniumiza moyo ww
Nisanifu tuugua pole sweerie☻
[emoji1][emoji1][emoji1]baby nikwambie kitu?Nisanifu tu
Kwani utajua basii ni kujikubali tu kua ukisha kua na mtu basi hata aje raisi wa nchi hukubali.Ama kweli unaposhikwa shikamana!
Dada niombee haya yasinifike mdogo wako
Hahahaaa. Jamani Kaka. DuuhHukwepeshi
Niambie[emoji1][emoji1][emoji1]baby nikwambie kitu?
skukuu ndo hiyoooo af sina hela[emoji26]...unansaidiajeNiambie
Mwanaume akikubali atakuwa amejimaliza. Mwanamke akishafanya hivyo hatashindwa kufanya vituko tena. Ni bora mwanaume asonge mbele na ustaarabu wake. Inaonekana mwanamke amerudi kwasababu ya kusemwa na ndugu zake na huyo mume hawezi kuwa na uhakika kama hatarudia tabia yake. Ni mawazo yangu tu.Hapo ni kuangalia tu moyo wako unavyotaka kama unaonai ni tamaa tu ilimfanya akuache ila bado anakupenda kwa dhati na wewe umeridhia sio mbaya mkarudia kuyajenga.
Na ikiwa unaona anajiliza kwa sababu hana pa kuegemea baada ya kukitembeza sana na hana mapenzi kwako sio vibaya ukampa kweli yake ili apate kunyamaza na yeye aangalie ustaarabu mwingine.