Sasa huyo kumsikiliza si inahitaji moyo wa ukalimuKwa nn Mkuu?
Mkuu yaani hayo uliyopotiia yanafanana na yangu.Sina Mkuu,nilizoea hali tangu 2015!!Nilikuwa na demu mkali zaidi yake ila nilikuwa napiga tu na wala sikuwahi waza kumwoa.So suala la kuoa nililifuta this time.NIMESHANGAA SANA,KAPIGA SIMU USIKU SANA,ANA BAHATI NDO NILITOKA KUANGALIA ARSENAL NA LIVERPOOL
HahaaaaaaMtu akishaenda ndo ameenda,kama hakuna nafas tena baada ya kuondoka,
Ukishakunywa maji chupa unaitupa,mwokota chupa ataiokota ampelekee mchina.
Yaani aje tena muanze USULUHISHI kwani mnajadili amani ya mashariki ya kati au Rasi ya Korea?
Bro uamuz wa UHAKIKA usio na shaka ni KUTOMPA NAFASI,Hahaaaaaa
Bass Mludie Uyo Dada Ila Usimwamin Sana Kuwa Nae Makin Ila 100% Nakwambia Mrudie Uyo dadaHapana mkuu,nilikaa tu sikutafuta mtu wa kuoa,ila kupooza tu
Unadhani ni sisi wanawake tu ambao hatushikamani? Hata ninyi wanaume wapo wengi tu wasioshikamana. Ndio maana nikakumbusha pande zote mbili kuwa ukishikwa shikamana.Mareth hili jambo linanisumbua na kunifikirisha sn kuhusu ninyi wanawake.
sasa huyo ndiyo bora kwako kwa sababu alolichokosea ni sehemu yake ya kujifunza kuliko ukitafuta mwingine naye lazima akukosee ndio ajifunze..kwa hiyo mchukulie kukosea kwake ndio kujifunza kwakeNaomba nianze na wimbo huu
Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani ilivyo,kaoneshwa maisha yalivyo,Leo hii karudi ni KILIO,Anasema" SIONI DIRA YANGU MBELE,NDUGU ZANGU HAWANIELEWI KUHUSU WEWE, HAPA NIMEMWACHIA MUNGU"Ni mengi kayasema.
Nilikaa kimya na umasikini wangu, unyonge wangu nilimwachia Mungu.Yametimia,najua Mimi nilichoamua moyoni.
WITO😀ada zanguni,mtu akupendaye Kwa DHATI YA MOYO usimfanyie vituko, mbwembwe.You have only one soulmate in your life.
Heshima kwenu wakina dada msio na hulka hiyo mbaya.
Hii iko wazi mkuuMkuu una stress, trust me.
Kwa huu Utawala wa Magu lazima Warudi tuNaomba nianze na wimbo huu