Karudi na kilio aisee?!!

Ndugu Yangu Tangu Uachane Nae Kuna Mwanamke Ambaye Alimpata Bora Zaid Yake Au Bado Hujapata Bora Zaid Yake

Tuanza Kwanza Hapa
 
Sio kwa wadada tuu hata makaa mkisha ona mmepata Pasua kichwa huko ndo mnajirudisha tena
 
Mtu akishaenda ndo ameenda,kama hakuna nafas tena baada ya kuondoka,
Ukishakunywa maji chupa unaitupa,mwokota chupa ataiokota ampelekee mchina.
Yaani aje tena muanze USULUHISHI kwani mnajadili amani ya mashariki ya kati au Rasi ya Korea?
 
Let HER GO
 
Kunguru hafugiki

Jiloge umrudie, utajuta.

Akili ya Kunguru ni hivyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…