Leo jamaa atakuwa hajapata usingizi akimuwaza demu aliyejirudisha kwake.Aisee watu mnauhaba wa usingizi
Kama huwezi hata kupanga hata sentensi mwanamke utamweza kweli?Naomba nianze na wimbo huu
Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani ilivyo,kaoneshwa maisha yalivyo,Leo hii karudi ni KILIO,Anasema" SIONI DIRA YANGU MBELE,NDUGU ZANGU HAWANIELEWI KUHUSU WEWE, HAPA NIMEMWACHIA MUNGU"Ni mengi kayasema.
Nilikaa kimya na umasikini wangu, unyonge wangu nilimwachia Mungu.Yametimia,najua Mimi nilichoamua moyoni.
WITO😀ada zanguni,mtu akupendaye Kwa DHATI YA MOYO usimfanyie vituko, mbwembwe.You have only one soulmate in your life.
Heshima kwenu wakina dada msio na hulka hiyo mbaya.
Kama uliniona Mkuu,sijalala mpaka saa kumi na mbili asubuhi nipo macho,natafakari hili jambo.Niseme SIJAPATA JIBU.Pamoja na kujielewa kidogo niliko nako sijajua tafsiri ya jambo hili.Leo jamaa atakuwa hajapata usingizi akimuwaza demu aliyejirudisha kwake.
Sina Mkuu,nilizoea hali tangu 2015!!Nilikuwa na demu mkali zaidi yake ila nilikuwa napiga tu na wala sikuwahi waza kumwoa.So suala la kuoa nililifuta this time.NIMESHANGAA SANA,KAPIGA SIMU USIKU SANA,ANA BAHATI NDO NILITOKA KUANGALIA ARSENAL NA LIVERPOOLMkuu una stress, trust me.
Kwa jinsi navyokuona..bado unampenda sana huyo bi dada....ndo maana unamuwaza..hivi mtu umeishamtoa akili unaanzaje kumuwaza mara mbilimbili....wala usingeshtuka....ongea nae myajenge...Sina Mkuu,nilizoea hali tangu 2015!!Nilikuwa na demu mkali zaidi yake ila nilikuwa napiga tu na wala sikuwahi waza kumwoa.So suala la kuoa nililifuta this time.NIMESHANGAA SANA,KAPIGA SIMU USIKU SANA,ANA BAHATI NDO NILITOKA KUANGALIA ARSENAL NA LIVERPOOL
Ama kweli unaposhikwa shikamana!Hapo ni kuangalia tu moyo wako unavyotaka kama unaonai ni tamaa tu ilimfanya akuache ila bado anakupenda kwa dhati na wewe umeridhia sio mbaya mkarudia kuyajenga.
Na ikiwa unaona anajiliza kwa sababu hana pa kuegemea baada ya kukitembeza sana na hana mapenzi kwako sio vibaya ukampa kweli yake ili apate kunyamaza na yeye aangalie ustaarabu mwingine.