Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Halafu Karucee alivyo na tabia mbaya eti akaanza kumchomolea Kaizer vijisenti vyake alivyobakiza kwenye mfuko wa nyuma.
Ila Kaizer naona wakati anachomolewa mfuko wake wa nyuma na Karucee, alijitutumua na kurusha backfist iliyomkosa kosa Karucee.
Mshikaji kwa vile alikuwa keshapendeza tayari akaishia kula mweleka tu. You can't make this stuff up. See it for yourselves. Pure hilarity.

Last edited by a moderator: