Karucee & Co wakimpa kichapo Kaizer

Mkwanja ulikuwa umeisha tayari. Karucee alikuwa ananilazimisha nikalale kwake nikakataa.....nina mbabes wa ukwer DEMBA alikuwa ananisubiri bana.

Ana bahati polisi angekuja ameambatana na watu wa first aid. JKT imenisaidia apo


Shem wangu wa ukweli mi napita tu hata sijasoma ulichoandika
 
Last edited by a moderator:
Kaizer shem,

ndugu yako Asprin toka ajidai anakimbizana na deadline za "ukaguzi" sijamtia machoni wiki ya tatu sasa

Wiki ya tatu? Hii ni disaster hakya nani.... lara 1 anasemaga 'dangerous times call for dangerous measures' sasa sijui hapa inakuwaje hoomie Asprin come zis way kabla shemeji BADILI TABIA hajafanya maamuzi magumu
 
Last edited by a moderator:
Mke wa ujana wangu,

Nimeambiwa na hommie Kaizer eti waniita. Ni kweli au longolongo?? Na waeza nambia mambo gani yanaendelea hapa kati ya Karucee na homeboy wangu ambaye ndo shemeji yako mkubwa (ukae ukijua shem mkubwa ni sumu kwako)


Tatizo hubby umeadimika nyumbani.....
 
Last edited by a moderator:
Mke wa ujana wangu,

Nimeambiwa na hommie Kaizer eti waniita. Ni kweli au longolongo?? Na waeza nambia mambo gani yanaendelea hapa kati ya Karucee na homeboy wangu ambaye ndo shemeji yako mkubwa (ukae ukijua shem mkubwa ni sumu kwako)

Duh apa naona yaliyofungwa duniani na mbinguni yamefungwa tayari:frusty:
Karucee come zis way tupigane this weekend (again)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom