Karo ya kusoma Komputa ni shilingi ngapi?

Honestgirl

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
210
Reaction score
126
Wana jf naomben msaada naulizia bei ya kusoma compyuta each program n sh. Ngap ?
 
Kwanza unataka kusoma komputa kozi gani na level ipi? Ukisha jibu hilo kama ni chini ya NACTE ingia huko wanaweka ada yao kwenye subject guides. Nje ya NACTE itabidi uingie chuo kimoja kimoja kwani TCU kwenye guide yao hawakuweka gharama za hizo programs.
 
Yan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuo
 
Yan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuo
Nimekupata mkuu nafikiri wenye ujuzi watakufahamisha zaidi. Unaweza pia kucheck UDSM UCC, Veta Kipawa ICT centre kama uko Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…